Kwa nini ni vigumu kujua kama una presha?
Presha mara nyingi haina dalili hadi wakati madhara yanapoanza (kiharusi, moyo kushindwa, nk.).
Jinsi Sahihi ya Kubaini Kama Una Presha
Hatua 7 za kufanya nyumbani zilizothibitishwa kitaalamu:
Ulinganisho: Mkono wa Juu vs. Kiganjani
Kipimo cha Mkono wa Juu (Arm)
Chaguo la kwanza la madaktari (AHA). Ni sahihi zaidi kwa matumizi ya nyumbani.
Nani HAFFAI kutumia:
- Watu wenye majeraha makubwa kwenye mkono wa juu.
- Watu waliofanyiwa upasuaji wa kuondoa nodi za limfu (lymph nodes) upande huo.
Kipimo cha Kiganjani (Wrist)
Rahisi kubeba, lkn linahitaji usahihi wa mkao (usawa wa moyo).
Nani HAFFAI kutumia:
- Wagonjwa wa Kisukari: Mishipa yao ni migumu (stiff), ikileta matokeo yasiyo sahihi.
- Wazee: Mishipa ya kiganjani inakuwa dhaifu kwa umri.
- Wavuta Sigara: Uvutaji huathiri mishipa midogo ya mbali na moyo.
- Wenye matatizo ya moyo (Arrhythmia): Mdundo usio sawa huathiri usomaji.

Arm Monitor Standard
Chaguo la uhakika kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya nyumbani.
Nunua Kipimo cha Mkono
Wrist Monitor
Teknolojia ya kisasa kwa wasafiri na matumizi ya haraka popote.
Nunua Kipimo cha KiganjaUnapopata Matokeo Gani — Nini Ufanye?
| Kipimo (mmHg) | Hali | Hatua za Kuchukua |
|---|---|---|
| Chini ya 120/80 | Kawaida | Endelea na mtindo mzuri wa maisha; pima mara kwa mara. |
| 120–129 / <80 | Imepanda Kidogo | Fanya mabadiliko ya mlo na mazoezi; fuatilia kwa karibu. |
| 130–139 / 80–89 | Presha Daraja la 1 | Ongea na mtoa huduma; unahitaji mabadiliko ya maisha na pengine dawa. |
| ≥ 140/90 | Presha Kubwa | Tafuta ushauri wa daktari mara moja — inaweza kuhitaji tiba au marekebisho ya dawa. |
Mambo ya Kufanya Sasa hivi
1. Nunua Mashine Halisi
Kagua au nunua mashine ya kupima presha ya kiganjani/mkononi yenye memory na offa ya kipekee.
Nunua Mashine Yako2. Jiunge na AFYAPlan
Hifadhi matokeo yako kila siku, pata ushauri wa lishe, na ufuatiliaji wa karibu wa daktari.
Jiunge na Programu3. Pakua Cheat-Sheet Bure
Jaza fomu upate Mwongozo wa Haraka (Cheat-Sheet) wa kupima presha nyumbani kwenye simu yako.
Pakua Cheat-Sheet Bure💡 Faida ya Kupima Presha Nyumbani
Kupima nyumbani husaidia kugundua presha ya ‘White Coat’ (inapanda vibaya tu ukiwa kliniki) na kubaini mabadiliko ya kila siku — hivyo kurahisisha maamuzi ya daktari juu ya tiba sahihi kwako.
⚠️ Je, vipimo vinaweza kuwa sahihi kila wakati?
Hapana. Sababu zinazoweza kuleta matokeo yasiyo sahihi ni pamoja na:
- Cuff isiyofaa au kufungwa vibaya mkononi.
- Mkao usiofaa wakati wa kupima.
- Kunywa kahawa/chai au kufanya mazoezi muda mfupi kabla ya kipimo.
