Kuwa huru: Wasiliana na Dr. Adinan kwa muda wako!

  1. Unataka kuwa huru kuongea na Daktari
  2. Unahitaji daktari wako akupe majibu yanayojitosheleza?
  3. Bado una maswali kuhusu afya yako, na jibu unalihitaji haraka?
  4. Unahitaji ushauri kuhakiki ushauri uliopewa na Daktari wako kama ni sahihi?
Dr. Adinan

Maelekezo ya Kuweka Miadi na Dr. Adinan:

  1. Chagua Tarehe: Baada ya kufungua link ya booking, utaona kalenda ya tarehe. Tafadhali chagua tarehe inayokufaa kwa miadi yako.

  2. Chagua Muda: Baada ya kuchagua tarehe, utaona orodha ya mida ambayo Dr. Adinan.

  3. Thibitisha Taarifa: Kagua tena tarehe na muda uliyochagua ili kuhakikisha kuwa kila kitu ni sahihi.

  4. Fanya Malipo: Ili kukamilisha miadi yako, utaelekezwa kwenye ukurasa wa malipo. Tafadhali lipia kiasi cha TZS 9,000.

  5. Pokea Uthibitisho: Baada ya malipo kufanikiwa, utapokea uthibitisho wa miadi yako kupitia SMS au email, ikithibitisha tarehe na muda wa miadi yako na Dr. Adinan.

Malipo yote ni kwa account Za AFYATech

1- NMB bank: 40310094893; Au 2- VODA Lipa Namba: 5271859; Au 3TIGOLipa Namba:6993797

Scroll to Top