🇹🇿 MAALUM KWA UNAYEJALI

Dhibiti Kisukari Kwa Vyakula Ukitumia Mfumo Thabiti

Yafahamu na Epuka Makosa 3. Sikiliza Video Hii Mpaka Mwisho!

Gharama ya Mwongozo Leo
TZS 73,000/= TZS 29,000/= Tu
📲 AGIZA KUPITIA WHATSAPP SASA Utajibiwa na Dr. Adinan moja kwa moja • Salama 100%

Sababu 3 Zinazokuweka kwenye Hatari ya Kupata Madhara Makubwa ya Kisukari

Ni wagonjwa wachache tu wenye Kisukari wanaofanikiwa kuweka viwango vyao vya sukari kwenye mstari ulio salama kwa kudumu. Wengi waliobaki, licha ya kunywa vidonge au kuchoma sindano za insulin kila siku, wanaendelea kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata madhara kama vile figo kufeli, vidole au miguu kukatwa (diabetic foot), upofu, au mishipa ya fahamu kuharibika.

Hizi ndizo Changamoto kuu 3 zinazokukwamisha na kukuweka kwenye Hatari:

1

Hujui Ukweli Halisi Kuhusu Vyakula Vinavyopandisha Sukari Yako

Athari kubwa ni Kuyumbishwa. Kila mtu anakushauri lake: “Usile ugali kabisa”, “Kula ndizi mbivu”, “Kunywa chai bila sukari lakini tia asali nyingi”. Unajikuta unakata tamaa na kusema “Sasa nile nini ikiwa kila kitu kinapandisha sukari?”

Ushahidi: Unajikataza vyakula vingi kwa shingo upande, lakini ukipima sukari unashangaa bado iko juu, au unahisi kizunguzungu na unajua kabisa hujala kitu kibaya.

Unavyotakiwa uwe kuanzia leo: Uwe na mwongozo wa uhakika unaokuonyesha vyakula vya Kitanzania unavyoweza kuvipata kwa urahisi sokoni na kuvila bila hofu ya sukari kupanda.

2

Hufahamu Kiwango Chako Halisi cha Sukari – Muda Mwingi

Athari kubwa: Kushambuliwa na madhara taratibu bila wewe kujua hadi yamefika pabaya.

Ushahidi: Watu wengi hupima sukari mara moja tu kwa mwezi wanapoenda hospitali kwenye kliniki, au hupima tu pale wanapojisikia vibaya sana. Siku ambazo hujapima unajiaminisha kuwa uko salama, kumbe sukari imekuwa juu kwa siku kadhaa mfululizo bila wewe kujua.

Unavyotakiwa uwe kuanzia leo: Uwe na utaratibu rahisi wa kufuatilia mwenendo wako wa sukari (tracking) kila siku ili ujue kabisa namba zako zinasemaje kabla haijawa too late.

3

Hufanyi Tathmini ya Kile Unachokula na Unachofanya

Athari kubwa: Unajaribu kupunguza kula leo, kesho unarudia mazoea yale yale bila kuona matokeo ya kudumu. Unakunywa dawa au mitishamba fulani uliyoambiwa inashusha sukari, lakini hukai chini kuangalia kama kweli inashusha au inakudanganya kwa muda mfupi tu.

Ushahidi: Leo sukari imesoma 10 mmol/L, kesho imesoma 7 mmol/L, kesho keshokutwa imepanda tena hadi 12 mmol/L. Hujui ni chakula gani au tabia ipi uliyoifanya jana iliyosababisha ipande au ishuke. Huna uhakika na chochote unachofanya.

Unavyotakiwa kuwa: Uwe na mfumo unaokuwezesha kurekodi na kufanya tathmini ya haraka (tracking and evaluation) ili ujue ni chakula gani mahsusi kilichopandisha sukari yako leo na kipi kilikuweka salama.

Je, Mfumo Huu ni Ni Kwa Ajili Yako?

Una kisukari au unamlea mtu mwenye kisukari.

Unachanganyikiwa na ushauri tofauti wa vyakula.

Unahitaji mwongozo wa mlo salama na wa kudumu.

🎁 Kile Utakachokipata Kwenye Mfumo Huu

Mfumo Huu Kamili wa Kitabu na KiPA-App Mkononi Mwako

Muundo wa kipekee uliotengenezwa kukuwezesha kufuatilia na kutathmini kila hatua ya kudhibiti kisukari

📚

Kitabu Maalum cha Lishe

Mwongozo kamili utakaokufahamisha kwa kina:

  • Aina ya Vyakula: Vinavyofaa na visivyofaa.
  • Kiasi Sahihi: Bila kuacha njaa.
  • Namna ya Kuvichanganya: Kuepuka mshtuko wa kisukari.
✓ Maarifa ya Kudumu ya Jikoni
📱

KiPA-App ya Kisasa

Mfumo wa kidijitali wa kukusaidia kila siku:

  • Tathmini ya Vyakula: Kupima ufanisi wa mlo wako.
  • Kupanga Ratiba: Milo salama ya kila siku.
  • Ufuatiliaji & Elimu: Kuangalia sukari na kupata vipimo/ushauri.
✓ Usimamizi wa Karibu Mkononi

💡 Muhtasari wa Faida Kwako

Hautajifunza kula nini na kwa kiasi gani kupitia kitabu pekee, bali utapata uwezo wa kufuatilia na kupima matokeo yako kwa urahisi ukitumia KIPA-App ili uishi kwa amani bila hofu ya kisukari.

📱 DAKTARI NA MWONGOZO WAKO MKONONI

KiPA App: Dhibiti Kisukari Kwa Uhakika Bila Kubahatisha!

Pata mfumo kamili wa kisasa unaokupa masomo, vitabu vya mwongozo, ufuatiliaji wa mlo na mazoezi, pamoja na meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa na usimamizi wa karibu wa Daktari.

📚

Masomo ya Kitaalamu na Vitabu

Soma vitabu na masomo maalum yaliyotayarishwa na madaktari kuhusu mfumo wa chakula, mabadiliko ya maisha, na mbinu za kitaalamu za kudhibiti kisukari bila kutegemea dawa pekee.

📈

Ufuatiliaji wa Mazoezi na Mlo

Ingiza kila chakula unachokula na mazoezi unayofanya kila siku. App inakupa majibu ya uhakika kuonyesha ni mbinu gani inafanya kazi zaidi katika kushusha na kudhibiti sukari yako.

💬

Jifunze kwa Waliofanikiwa

Shiriki katika meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa kudhibiti kisukari chao. Badilishana uzoefu, pata hamasa, na jifunze siri zilizowasaidia wao.

🩺

Usimamizi wa Madaktari

Haupo peke yako. Daktari anaangalia takwimu zako za kisukari, mlo, na mazoezi kupitia App na kukupa miongozo na ushauri wa papo hapo unapohitaji msaada.

💡 Kuwa na Uhakika wa Mbinu Inayofanya Kazi!

Kwa kufuatilia kila zoezi na mlo wako kwenye KIPA App, hautakuwa unabahatisha tena. Utajua kwa usahihi wa 100% ni chakula au zoezi gani linasaidia kudhibiti kisukari chako kwa haraka zaidi.

Ushuhuda Halisi wa Matokeo

Tazama jinsi watumiaji wetu walivyofanikiwa kudhibiti sukari kiasili.

🔥 Changamoto ya Sukari Ushuhuda

“Hali ya sukari ilivyokuwa inatisha hapo awali kabla ya ratiba.”

🎉 Matokeo Sasa Ushuhuda

“Mabadiliko makubwa! Kiwango cha sukari kimeshuka na kutengemaa.”

🤝 Mwongozo na Msaada Ushuhuda

“Msaada endelevu unaompa mgonjwa amani ya moyo.”

💳 Uthibitisho wa Malipo Ushuhuda

“Mfumo rahisi na salama wa kujipatia kitabu bila usumbufu.”

Maswali ya Mara kwa Mara

Kitabu kiko kwenye mfumo gani?

Ni e-book (digital) ambayo unaweza kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta wakati wowote.

Vipi simu ikiharibika au nikipoteza file?

Usijali, mara tu baada ya kununua unakuwa na akaunti yako ambapo unaweza kupakua upya kitabu chako wakati wowote kupitia mfumo wetu.

Nafanyaje Malipo?

Tuna mfumo salama wa PesaPal unaokubali M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Kadi (Visa/Mastercard).

Hatua Rahisi za Kulipia na Kupata Kitabu

1

Bonyeza kuweka oda, kisha lipia hivi:

2

Baada ya kukamilisha muamala wako:

3

Kukipata kitabu ni ndani ya dakika 5:

OFA YA LEO ITAISHA BAADA YA:
00: 00: 00
Bonyeza Kuagiza (TZS 29,000)
Scroll to Top