Pata Mimba Unayoitamani & Epuka Ile Usiyoitakia 💕
Uzazi wako haustahili kuwa bahati nasibu. UzaziSmart hukupa uwezo wa kujua siku zako hatarishi, ovulation, na muda sahihi wa kupata au kuzuia mimba — kwa urahisi na usalama.
“Nilidhani niko salama, kumbe nilikuwa najidanganya…”
Hakuna kitu kinachoumiza kama kuishi kwa hofu kila mwezi. Unakaa unasubiri “Siku zako” huku moyo ukidunda. Unajiuliza: “Je, mzunguko wangu umebadilika?” “Je, nimechelewa?”
Maumivu ya Kukosea Kalenda:
- ❌ Kuvurugika kwa mipango ya elimu au kazi.
- ❌ Msongo wa mawazo kwenye mahusiano.
- ❌ Gharama kubwa za maisha ambazo hukuwa umejipanga.
Unachokihitaji Kweli:
- ✅ Uhakika wa 100% wa jinsi ya kuzuia mimba.
- ✅ Amani ya moyo ukiwa na mwenza wako.
- ✅ Teknolojia inayokukumbusha bila wewe kusahau.
UzaziSmart Inakusaidia Kwenye Haya 👇
Unafahamu siku zako za kupata mimba kwa usahihi
Unafahamu siku salama za kushiriki
Unafahamu siku za hatari uepuke mimba
Unafahamu mzunguko wako bila makosa
Unafahamu makadirio ya siku za kujifungua
Zaidi ya wanawake 12,000+ wameshatumia!
Jaribu Sasa: Fahamu Siku Zako Ndani ya Sekunde
📅 Fahamu Siku za Kupata Mimba (Hatari)
Pata Mwongozo Kamili Leo
Jiunge na wanawake wanaojiamini. Pata uwezo wa kutambua siku zako, kuzuia mimba kwa usahihi, na kulinda afya yako ya uzazi kitalamu.
Malipo ni salama kupitia Mitandao yote au Benki
Maoni ya Wanaotumia
uzazismart
Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka
Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39
Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari
Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan
Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu
Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo