Jinsi ya Kuhesabu Mzunguko wa Hedhi | Darasa kutoka kwa Dr. Adinan

Kabla ya kuanza: Pima kiwango chako cha uelewa wa sasa hivi!

Anza Tathmini Hapa
Darasa Maalum

✨ Ahadi Yangu Kwako: Masomo 10 ya Maarifa ya Uzazi ✨

Nini Utakipata?

Karibu sana! Kufikia mwisho wa darasa hili, utapata “nguvu” na udhibiti kamili wa mwili wako kupitia mafunzo haya 10 yaliyokusudiwa kukupa amani ya moyo na kukuongoza kwa usahihi.

Mfululizo wa Mafunzo (Video 10)

Bofya na utazame kila somo kwa mpangilio sahihi hapa chini

Siku 1: Mzunguko Wa Hedhi Ni Nini?

Siku 2: Jinsi Ya Kuhesabu Urefu Wa Mzunguko

Siku 3: Nitaweza kupata mimba Lini? Siri Ya Siku Za Hatari

Siku 4: Siku ya Yai Kupevuka (Ovulation)

Siku 5: Dalili Za Siku Za Hatari

Siku 6: Kosa Linaloumiza Wengi

Siku 7: Nini hutokea yai likishapevuka?

Siku 8: Kwanini Hedhi Inavurugika?

Siku 9: PMS vs Mimba

Siku 10: Kalenda Bora Ya Hedhi

📝 Pima Uelewa Wako

Fanya jaribio hili fupi sasa ili kujua umesimama wapi na kiwango chako cha uelewa kabla au baada ya darasa.

Fanya jaribio hili ili kujua umesimama wapi kabla na baada ya darasa.

Tafadhali jaza taarifa zako ili kuanza:







Maoni ya Wanaotumia

darasa mzunguko hedhi

5
M
Martina • 09/06/2026

Asante Dr. Adinan kwa maelekezo mazuri. Imebidi nipakuwe app kumalizia masomo mengine

AFYATech Admin 12/06/2026

Safi sana Martina. Utanambia App imekusaidiaje mpaka sasa!

A
Aimana • 10/06/2026

Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period

A
Aimana • 10/06/2026

Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period

AFYATech Admin 12/06/2026

Aimana, asante kwa swali zuri. Mimi nilitaka ufahamu kupitia darasa hili. Tafadhali tizama video ya Siku ya 3. Kisha unambie

G
Grace • 10/06/2026

Nimependa jinsi mnavoelezea hususani kuhusu hedhi salama pamoja na uzazi wampango kwa jiaa yakarenda

AFYATech Admin 12/06/2026

Karibu sana Grace. Nimefarijika. Tizama video zote, nakuhakikishia utakuwa bora sana.

A
Agnetha • 02/07/2026

Asante Dr.Adinan kwa maelekezo mazuri nitaendelea kupakuw app kuendelea na masomo mengine na nimefrahiya masomo yako na nimeyapenda naomba uzidi kunisaidia zaidi ya hapa

A
Agnetha • 02/07/2026

Nilipenda maelekezo yako niseme nimeweza kuelewa kila ulicho nielekeza

A
Agnetha • 02/07/2026

Asante Dr.Adinan kwa maelekezo mazuri nitaendelea kupakuw app kuendelea na masomo mengine na nimefrahiya masomo yako na nimeyapenda naomba uzidi kunisaidia zaidi ya hapa

AFYATech Admin 03/07/2026

Karibu Agnetha, App ndiyo njia sahihi kwakuwa unaweza kuingiza dalili pia

F
Flora joram dickson • 14/07/2026

Kujua mzunguko wangu

F
Flora joram dickson • 14/07/2026

Kujua mzunguko wangu

H
HALIMA HASSANI • 16/07/2026

KUFAHAMU ZAIDI KUHUSU MZUNGUKO WANGU

W
Warda • 16/07/2026

Nimependa nimepat majibu yangu sahihi na kujua hali yangu

D
Daty • 21/07/2026

Ni nzuri

D
Daty • 21/07/2026

Ni nzuri

N
Nuru juma • 23/07/2026

napenda jinsi mnavyoeleza kwakina juu hali ya kawaida ya mzunguko wa hedhi

W
Witness • 27/07/2026

Kujifunza zaidi na uelewa

L
LELA ABDALA • 04/08/2026

Ipo vizuri sana

M
Monic • 09/08/2026

Niliipenda huduma hii

M
Monic • 09/08/2026

Niliipenda huduma hii

S
Shairozi • 18/08/2026

Ni nzuri

P
Prisca • 21/08/2026

Kujifunza zaidi mfumo mzima wa uzazi

P
Prisca • 21/08/2026

Kujifunza zaidi mfumo mzima wa uzazi

Tuandikie maoni yako hapa:

Scroll to Top