Kabla ya kuanza: Pima kiwango chako cha uelewa wa sasa hivi!
Anza Tathmini Hapa
Darasa Maalum
✨ Ahadi Yangu Kwako: Masomo 10 ya Maarifa ya Uzazi ✨
Nini Utakipata?
Karibu sana! Kufikia mwisho wa darasa hili, utapata “nguvu” na udhibiti kamili wa mwili wako kupitia mafunzo haya 10 yaliyokusudiwa kukupa amani ya moyo na kukuongoza kwa usahihi.
Mfululizo wa Mafunzo (Video 10)
Bofya na utazame kila somo kwa mpangilio sahihi hapa chini
Siku 1: Mzunguko Wa Hedhi Ni Nini?
Siku 2: Jinsi Ya Kuhesabu Urefu Wa Mzunguko
Siku 3: Nitaweza kupata mimba Lini? Siri Ya Siku Za Hatari
Siku 4: Siku ya Yai Kupevuka (Ovulation)
Siku 5: Dalili Za Siku Za Hatari
Siku 6: Kosa Linaloumiza Wengi
Siku 7: Nini hutokea yai likishapevuka?
Siku 8: Kwanini Hedhi Inavurugika?
Siku 9: PMS vs Mimba
Siku 10: Kalenda Bora Ya Hedhi
📝 Pima Uelewa Wako
Fanya jaribio hili fupi sasa ili kujua umesimama wapi na kiwango chako cha uelewa kabla au baada ya darasa.
Maoni ya Wanaotumia
darasa mzunguko hedhi
5
A
Aimana
• 10/06/2026
Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period
A
Aimana
• 10/06/2026
Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period
M
Martina
• 09/06/2026
Asante Dr. Adinan kwa maelekezo mazuri. Imebidi nipakuwe app kumalizia masomo mengine
Nimependa jinsi mnavoelezea hususani kuhusu hedhi salama pamoja na uzazi wampango kwa jiaa yakarenda