Kabla ya kuanza: Pima kiwango chako cha uelewa wa sasa hivi!
Anza Tathmini Hapa✨ Ahadi Yangu Kwako: Masomo 10 ya Maarifa ya Uzazi ✨
Nini Utakipata?
Karibu sana! Kufikia mwisho wa darasa hili, utapata “nguvu” na udhibiti kamili wa mwili wako kupitia mafunzo haya 10 yaliyokusudiwa kukupa amani ya moyo na kukuongoza kwa usahihi.
Mfululizo wa Mafunzo (Video 10)
Bofya na utazame kila somo kwa mpangilio sahihi hapa chini
Siku 1: Mzunguko Wa Hedhi Ni Nini?
Siku 2: Jinsi Ya Kuhesabu Urefu Wa Mzunguko
Siku 3: Nitaweza kupata mimba Lini? Siri Ya Siku Za Hatari
Siku 4: Siku ya Yai Kupevuka (Ovulation)
Siku 5: Dalili Za Siku Za Hatari
Siku 6: Kosa Linaloumiza Wengi
Siku 7: Nini hutokea yai likishapevuka?
Siku 8: Kwanini Hedhi Inavurugika?
Siku 9: PMS vs Mimba
Siku 10: Kalenda Bora Ya Hedhi
📝 Pima Uelewa Wako
Fanya jaribio hili fupi sasa ili kujua umesimama wapi na kiwango chako cha uelewa kabla au baada ya darasa.
Maoni ya Wanaotumia
darasa mzunguko hedhi
Kujifunza zaidi mfumo mzima wa uzazi
Ni nzuri
Niliipenda huduma hii
Niliipenda huduma hii
Ipo vizuri sana
Kujifunza zaidi na uelewa
napenda jinsi mnavyoeleza kwakina juu hali ya kawaida ya mzunguko wa hedhi
Ni nzuri
Ni nzuri
Nimependa nimepat majibu yangu sahihi na kujua hali yangu
KUFAHAMU ZAIDI KUHUSU MZUNGUKO WANGU
Kujua mzunguko wangu
Kujua mzunguko wangu
Asante Dr.Adinan kwa maelekezo mazuri nitaendelea kupakuw app kuendelea na masomo mengine na nimefrahiya masomo yako na nimeyapenda naomba uzidi kunisaidia zaidi ya hapa
Nilipenda maelekezo yako niseme nimeweza kuelewa kila ulicho nielekeza
Asante Dr.Adinan kwa maelekezo mazuri nitaendelea kupakuw app kuendelea na masomo mengine na nimefrahiya masomo yako na nimeyapenda naomba uzidi kunisaidia zaidi ya hapa
Nimependa jinsi mnavoelezea hususani kuhusu hedhi salama pamoja na uzazi wampango kwa jiaa yakarenda
Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period
Swali langu unaweza kupata mimba siku mbili baada ya kumaliza period
Asante Dr. Adinan kwa maelekezo mazuri. Imebidi nipakuwe app kumalizia masomo mengine
Kujifunza zaidi mfumo mzima wa uzazi