Sale!

Kipimo cha sukari – Glucometer

Dhibiti na epuka madhara ya kisukari kwa kutumia Glucometer . Glucometer ni kipimo cha sukari. Ni kipimo muhimu kuwa nacho chenye faida tatu muhimu.

  1. Kufahamu hali yako kwa uhakika na kuchukua hatu mapema kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari
  2. Kutathmini tiba, sasa unaweza kufahamu kama tiba inafanya kazi ama la.
  3. Fahamu hali yako wakati wowote. Unaepuka gharama za kufanya kipimo cha sukari hospitali pamoja na kutumia muda wako kufanya shughuli zingine.

Original price was: Sh 45,000.Current price is: Sh 40,000.

Kipimo cha sukari kinakusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari kwa kuweza kukufahamisha kiwango cha sukari kwenye damu na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.

Kumbuka, ugonjwa wa kisukari unaweza kuwepo muda mrefu bila kuonesha dalili hata moja mpaka pale madhara yanapotokea. Hivyo, kipimo cha sukari ni Lazima ili kuweza kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari.

Faida 3 za kuwa na kipimo cha sukari / Glucometer ni:

  1. Kufahamu hali yako kwa uhakika na kuchukua hatu mapema kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari
  2. Kutathmini tiba, sasa unaweza kufahamu kama tiba inafanya kazi ama la.
  3. Fahamu hali yako wakati wowote. Unaepuka gharama za kufanya kipimo cha sukari hospitali pamoja na kutumia muda wako kufanya shughuli zingine.
Review Your Cart
0
Add Coupon Code
Subtotal
Total Installment Payments
Bundle Discount

Scroll to Top