Faida ya Mazoezi ya Anaerobic Kwa Mgonjwa wa Kisukari
Kuna aina mbili kuu za mazoezi—anaerobic na aerobic—na zote zina faida tofauti kwa mgonjwa wa kisukari.
Kuelewa tofauti kati ya aina hizi na jinsi zinavyoathiri viwango vya sukari kwenye damu ni muhimu kwa mtu yeyote anayetataka kudhibiti kisukari kwa ufanisi.
Faida ya Mazoezi ya Anaerobic Kwa Mgonjwa wa Kisukari Read More »







