Jitunze – Fahamu Afya Yako ya Uzazi na Maendeleo ya Mtoto Tumboni kwa Usahihi Kupitia AfyaPlan App
Hedhi. Siku za mimba kutunga. Umri wa mimba. Maendeleo ya mtoto. Tarehe ya kujifungua.
Jitunze – Fahamu Afya Yako ya Uzazi na Maendeleo ya Mtoto Tumboni kwa Usahihi Kupitia AfyaPlan App
Hedhi. Siku za mimba kutunga. Umri wa mimba. Maendeleo ya mtoto. Tarehe ya kujifungua.
Faida za Kalenda ya Mimba
- Kukadiria Tarehe ya Kujifungua: Pata tarehe inayokadiriwa ya kujifungua na ujipange mapema.
- Kujua Siku za Hatari: Fahamu siku zako za hatari za kupata mimba na uweze kupanga uzazi kwa ufanisi.
- Kupanga Majira ya Kujifungua: Chagua wakati bora wa kujifungua kulingana na mahitaji yako na familia yako.
Panga Uzazi Kwa Urahiisi!
- Jipangie ujauzito: Fahamu siku zako za kupata mimba.
- Epuka mimba usizotarajia: Fahamu siku zako za hatari za kupata mimba na uweze kupanga uzazi kwa ufanisi.
- Kuwa na afya bora wakati wote: App itakufahamisha mzunguko wako ni wa siku ngapi. Hii itakusaidia kubaini kama kutakuwa na mabadiliko kwenye mzunguko hivyo kuchukua hatua stahiki mapema
Fuatilia Maendeleo ya Mwanao
- Umri wa mimba: Unafahamu umri wa mimba bila hofu kwa kutumia technolojia ya hali ya juu
- Tarehe ya Kujifungua: Jipange kwa uzazi salama. Ffahamu tarehe ya kujifungua mapema
- Maendeleo ya Mwanao: Fahamu maendeleo kila wiki na pata ushauri wa kitaalamu kulingana na wiki husika