Madhara ya kisukari: Kinywa na Meno
Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko […]
Madhara ya kisukari: Kinywa na Meno Read More »
Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko […]
Madhara ya kisukari: Kinywa na Meno Read More »
Ugonjwa wa kisukari husababisha ugonjwa wa figo kwa namna mbili na kusababisha figo kufeli. Unaweza usihisi dalili mpaka pale madhara yanapokuwa makubwa. Hatahivyo, unaweza kuepuka madhara yote haya. Tafadhali soma kufahamu zaidi…
Ugonjwa wa Figo: Namna 2 Kisukari huaribu figo na unavyoweza kuepuka! Read More »
Ukubwa wa tatizo la Magonjwa ya Moyo Watu Milioni 18 hufariki kwa magonjwa ya moyo kila mwaka, hizi ni takwimu za shirika la Afya duniani
Fahamu Kisukari Kinavyosababisha Ugonjwa wa Moyo Read More »
Kisukari huathiri mishipa ya fahamu. Hatahivyo unaweza kuepuka kwa kufanya yaliyoshauriwa kwenye makala haya. Kisukari huweza kuleta uharibifu wa aina nne kwenye mishipa ya fahamu.
Madhara ya kisukari: Uharibifu wa mishipa ya fahamu Read More »
Kisukari huaribu mishipa ya fahamu, mishipa ya damu na hudhoofisha kinga ya mwili. Haya yote husababisha kupata vidonda kwa haraka, kupata maambukizi na kuchelewa kupona. Soma kufahamu namna ya kujikinga
Vidonda Vya Miguuni Kwa Mgonjwa Kisukari : Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga Read More »
Kisukari kinasababisha vifo na ulemavu kwa watu wengi. Kwa kufanya vipimo hivi, unaweza kudhibiti Kisukari na kuepuka madhara yake kwa kuifanyia tathmini afya yako na kuchukua hatua stahiki mapema. Tafadhali soma kufahamu vipimo muhimu
Vipimo Muhimu Kwa Mgonjwa wa Kisukari Read More »
Mazoezi yana umuhimu mkubwa katika kuzuia na kudhibiti shinikizo la juu la damu (Presha)
Hatahivyo, ni MUHIMU kutambua ni mazoezi gani, yafanywe kwa muda gani na tahadhari za kuchukuwa wakati unachagua aina ya mazoezi ya kufanya kulingana na hali yako ya presha.
Mazoezi kuzuia au Kudhibiti Presha Read More »