Jinsi ya Kutumia Kalenda ya Uzazi Wa Mpango
(Na Kosa Kuu Linalofanywa)
Wengi hutumia tarehe waliyoanza hedhi kupanga uzazi bila kuzingatia urefu wa mzunguko wao. Hapa ndipo mimba zisizotarajiwa huingia.
Utofauti wa Siku za Hatari
Mzunguko wa kila mwanamke ni wa kipekee. Angalia jinsi siku zinavyobadilika hapa chini:
| Mzunguko | Ovulation | Siku za Hatari |
|---|---|---|
| Siku 21 | Siku ya 7 | 4 – 9 |
| Siku 28 | Siku ya 14 | 10 – 15 |
| Siku 35 | Siku ya 21 | 18 – 24 |
“Kwanini Kalenda ya Karatasi Haitoshi?”
- Haiwezi kukukumbusha siku ikifika.
- Haijui mabadiliko ya stress au uchovu.
- Haina uwezo wa kufuatilia ukuaji wa mtoto.
Maktaba ya Video ya UzaziSmart
Siku za Hatari: Ukweli Ambao Hawajui
Pata App HapaJinsi ya Kujua Umri wa Mimba kwa Wiki
Tumia UzaziSmartKuhesabu Tarehe ya Kujifungua (EDD)
Pata AppDalili za Uchungu wa Kujifungua
Download AppMaoni ya Wanaotumia
uzazismart
Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan
Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari
Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39
Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka
Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo
Nimependa huduma yenu ni nzuri sana
Nimependa huduma Yenu Ni Nzuri Sana
Nahitaji kujuwa siku zangu za hatar
nataka kujuwa siku yangu ya hatari
Tumeweka hivi
Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu