UzaziSmart – Kalenda ya uzazi wa mpano ya Uhakika!
Elimu ya Uzazi Kidijitali

Jinsi ya Kutumia Kalenda ya Uzazi Wa Mpango (Na Kosa Kuu Linalofanywa)

Wengi hutumia tarehe waliyoanza hedhi kupanga uzazi bila kuzingatia urefu wa mzunguko wao. Hapa ndipo mimba zisizotarajiwa huingia.

Utofauti wa Siku za Hatari

Mzunguko wa kila mwanamke ni wa kipekee. Angalia jinsi siku zinavyobadilika hapa chini:

Mzunguko Ovulation Siku za Hatari
Siku 21 Siku ya 7 4 – 9
Siku 28 Siku ya 14 10 – 15
Siku 35 Siku ya 21 18 – 24

“Kwanini Kalenda ya Karatasi Haitoshi?”

  • Haiwezi kukukumbusha siku ikifika.
  • Haijui mabadiliko ya stress au uchovu.
  • Haina uwezo wa kufuatilia ukuaji wa mtoto.

Maktaba ya Video ya UzaziSmart

Siku za Hatari: Ukweli Ambao Hawajui

Pata App Hapa

Jinsi ya Kujua Umri wa Mimba kwa Wiki

Tumia UzaziSmart

Kuhesabu Tarehe ya Kujifungua (EDD)

Pata App

Dalili za Uchungu wa Kujifungua

Download App

Usiendelee Kubahatisha.

UzaziSmart inakupa uhakika, usalama na mwongozo wa kitaalamu kiganjani mwako.

Pata App ya UzaziSmart LEO
Salama Watumiaji 1,500+

Maoni ya Wanaotumia

uzazismart

5
M
mosi • 16/05/2026

nataka kujuwa siku yangu ya hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Ni rahisi sasa. Nimebadilisha, badala ya kalenda nimeweka tarehe mahususi.Baala ya Kalenda hivi Tumeweka hiviUrahisi wa kufuatilia hedhi na siku za hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

Z
zaituni omar • 16/05/2026

Nahitaji kujuwa siku zangu za hatar

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma Yenu Ni Nzuri Sana

AFYATech Admin 28/05/2026

Karibu sana Zuhura

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma yenu ni nzuri sana

R
Rehema • 17/04/2026

Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo

AFYATech Admin 24/04/2026

Asante sana dada Rehema kwa mrejesho wako. Tafadhali endelea kutumia mpaka tufikie lengo letu

A
Adellah ngaga • 12/04/2026

Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Adellah. Tunashukuru. Tafadhali sambaza ujumbe kwa wahtaj

N
Neema • 10/04/2026

Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Neema. TUnafarijika kusikia hivi

J
Jane Aloyce • 07/04/2026

Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari

J
John Makune • 05/04/2026

Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan

H
Hawa Salim • 05/04/2026

Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu

Tuandikie maoni yako hapa:

🤍 Panga Uzazi Wako kwa Uhakika Tumia Kalenda ya Uzazi wa Mpango iliyorahisishwa kwa wanawake wa Afrika
🌸 Jaribu Kutumia Kalenda Leo
Scroll to Top