Dhibiti Kisukari kwa vyakula

Tiba lishe ya kisukari inasaidia kudhibiti kisukari na madhara yake.

Kama bado unaishi kwa hofu kwasababu umeshindwa kudhibiti kisukari au unasumbuka kudhibiti kisukari kwa tiba lishe, jiunge leo na MloPlan.

Hizi ni Changamoto Kubwa 3 Unazokabiliana Nazo?

Huna elimu sahihi

Hauko mwenyewe! Wagonjwa wengi hawana maarifa ya jinsi ya kupanga lishe inayofaa kwa kudhibiti kisukari. Hivyo hufanya makosa yanayoweza kuzidisha sukari au kudhoofika kwa kukosa lishe.

Huelewi maelekezo

Ingawa vitabu na makala za lishe bora zipo, wagonjwa wengi hukosa muda wa kusoma, kuelewa, na kuchukua hatua sahihi. Unapomaliza kusoma bado huna uwezo wa kupanga ratiba bora ya chakula

Umeshindwa lishe

Kama walivyo wengi, ushazoea vyakula vyako kwa muda mrefu. Tafiti zinaonyesha kuwa wagonjwa wengi hushindwa kufuata maagizo magumu ambayo yanapinga mazoea yao ya muda mrefu.

Hivi ndivyo tulivyoweza kuwasaidia wengi

Mpango wa Lishe

Mpango wa Lishe Unaokufaa

Kupitia MloPlan, tunakupangia vyakula unavyopenda, vinavyopatikana kwa urahisi, na vinavyolingana na bajeti yako. Hakuna haja ya kubadilisha mazoea yako kabisa – mpango wetu unazingatia mazingira na hali yako ya kiuchumi. Jiunge hapa.


Tathmini ya Kila Wiki

Unakuwa na vikao kwa simu kufuatilia hali yako yako ya afya na udhibiti wa kisukari.

Tunakupatia nyenzo ambazo utaweza kufuatilia sukari yako pamoja na mbinu ulizoelekezwa.

Pamoja na mtaalamu wa afya utapitia maendeleo yako na kuchukua hatua stahiki mapema.

Elimu Sahihi

Tunakupatia maarifa unayohitaji kupitia kitabu maalum kinachofafanua vyakula vya kuongeza na kupunguza, kiasi sahihi, na mpangilio wa lishe bora kwa wiki nzima. Bonyeza hapa kupata kitabu hiki.

Pata ratiba ya vyakula unavyopenda, vinavyopatikana katika mazingira yako na kulingana na uchumi wako

Dhibiti Kisukari Huku Ukila Vyakula Uvipendavyo

Scroll to Top