Tunakusaidia Kudhibiti Presha
Presha ya juu (Hypertension) ni muuaji wa kimyakimya. Kuelewa namna ya kuidhibiti ni hatua ya kwanza ya kuokoa maisha yako.
Sikiliza Ujumbe Huu Mpaka MWISHO!
Ugonjwa wa Presha: Presha ya Kawaida ni Ngapi?
Presha ya juu (Hypertension) na kushuka kwa presha ni hatari zisizotabirika. Fahamu msingi sahihi wa afya yako leo.
Presha Husababishwa na Nini? Fahamu Aina 2 za Shinikizo la Damu
Tofautisha kati ya Presha ya Msingi (mtindo wa maisha) na Presha ya Sekondari.
Soma Makala Hii →Presha ya Kushuka: Dalili, Sababu, na Huduma ya Kwanza
Fahamu athari za presha ya chini na nini cha kufanya unapojisikia kizunguzungu.
Soma Makala Hii →Dalili za Presha Ya Kupanda: Mambo 3 Muhimu ya Kuzingatia
Jifunze viashiria vya siri vya shinikizo la juu la damu kabla haijawa ngumu.
Soma Makala Hii →Mbinu Sahihi za Kudhibiti na Kushusha Presha
Chagua miongozo ya kitaalamu kuhusu lishe, dawa, vipimo sahihi, na huduma ya kwanza ya dharura.
🥗 Vyakula Sahihi vya Mgonjwa wa Presha
Jifunze vyakula vya asili vinavyosaidia kushusha presha na epuka chumvi au vyakula hatarishi.
Soma Mwongozo wa Vyakula →💊 Matibabu na Dawa za Presha
Fahamu malengo 4 ya matibabu, aina za dawa za hospitali na namna sahihi ya kuzitumia bila madhara.
Soma Kuhusu Dawa →📊 Vipimo Muhimu vya Afya Yako
Kutambua viwango vyako vya shinikizo la juu la damu kupitia vipimo sahihi vya mara kwa mara nyumbani.
Soma Kuhusu Vipimo →🚨 Huduma ya Kwanza ya Dharura
Hatua za haraka za kuchukua sekunde za kwanza wakati presha inapopanda au kushuka kwa ghafla.
Soma Mwongozo wa Dharura →Acha Kuishi kwa Hofu ya Presha — Anza Kufurahia Maisha Leo!
Kudhibiti presha si kazi ngumu ukiwa na mfumo sahihi. Tunakupa vifaa bora, ushauri wa kitaalamu, na mfumo wa ufuatiliaji kiganjani mwako.
📱 Pakua KIPA App
Fuata ratiba za vyakula na rekodi vipimo vyako vya kila siku moja kwa moja kupitia simu yako.
Pakua Google Play →🩺 Vifaa vya Kupima Presha
Pata vifaa vya kidigitali vilivyothibitishwa kukupa vipimo sahihi na kuepuka hatari.
Chagua Kifaa Chako →👨⚕️ PreshaPlan Program
Pata ushauri na ufuatiliaji wa karibu wa kitaalamu ili kudhibiti shinikizo la damu kikamilifu.
Jiunge na Mpango →