๐ฑ Afyaplan Apps
Mapinduzi ya Afya Yako Kiganjani
Iliyotengenezwa na AFYATech chini ya uongozi wa Dr. Adinan
Afya yako ndiyo rasilimali yako ya kwanza. Kupitia teknolojia ya kisasa, AFYATech imekuletea suluhisho la kudumu la kufuatilia magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama Presha, Kisukari, na safari ya Uzazi Salama.
๐ฉบ Jifahamu: Boresha Afya Yako
Usiishi kwa kubahatisha. Tumia vikokotoo vyetu vya kitaalamu kutafsiri vipimo vyako papo hapo.
Tafsiri Shinikizo la Damu (BP)
Tafsiri Shinikizo la Damu
๐ฌ Sukari (Glucose)
Glukosi ya Damu (mmol/L)
๐ HbA1C (Miezi 3)
Kipimo cha HbA1C (%)
๐ Cholesterol
Cholesterol (mg/dL)
๐งช Wingi wa Damu (HB)
Wingi wa Damu (HB)
๐ก๏ธ Joto la Mwili
Joto la Mwili (ยฐC)
๐ฌ๏ธ Oksijeni (SpO2)
Oksijeni mwilini (SpO2 %)
๐ Kwa Nini Utumie Afyaplan Apps?
Urahisi
Pata tafsiri ya vipimo ukiwa nyumbani bila kupanga foleni hospitalini.
Utaalamu
Kanuni zote zimetokana na miongozo ya kitabibu ya WHO na wizara ya afya.
Takwimu
Hifadhi kumbukumbu za afya kwa ajili ya ushauri wa baadae wa daktari.
๐ฏ Chukua Hatua Leo!
Usisubiri hadi uumwe ndipo uanze kufuatilia afya yako. Jiunge na maelfu ya Watanzania wanaotumia Afyaplan Apps.
PAKUA APP GOOGLE PLAY“Afya yako, Jukumu lako. AFYATech ipo kukurahisishia.”