Ishi kwa Amani: Dhibiti na Epuka madhara ya Kisukari Na Presha Sasa.
Ungependa kutumia KiPA kuepuka madhara ya Ugonjwa gani? Chagua hapa chini.
Dhibiti na Epuka Madhara ya Kisukari kwa Njia ya Asili na Sayansi
Kudhibiti kisukari hakuhitaji njaa au bajeti kubwa. Tumia mfumo wa kisasa kufuatilia mabadiliko ya mwili wako na kuwa na amani!
Jisajili Sasa Kujiunga na AfyaPlanAfyaPlan ni nini?
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari kupitia mlo sahihi na ufuatiliaji wa kila siku.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi kuhusu Aina, Kiasi, na Mchanganyiko wa vyakula vinavyostahili bila kutegemea ratiba za jumla.
Pia unapata tafsiri ya vipimo vyako vya sukari kulingana na mlo uliokula, na dondoo muhimu za kukuwezesha kuweka sukari yako kwenye wastani salama (Time in Range).
AFYAPlan APP INAVYOWEZA KUBORESHA MAISHA YAKO
Amani ya Akili
Kujua kiwango chako cha sukari na jinsi chakula kinavyoathiri mwili wako hukupa amani ya akili na kuondoa hofu ya kula.
Maamuzi Bora ya Mlo
Ukiwa na ushauri wa kitaalam, utajua mchanganyiko sahihi wa wanga, protini, na mbogamboga bila kubahatisha.
Kuzuia Madhara ya Kisukari
AfyaPlan itakusaidia kufuatilia sukari kwa karibu na kuchukua hatua mapema kuzuia madhara kwenye macho, figo, na mfumo wa neva.
Ushauri Binafsi Unaokufaa Wewe Pekee
Kila mwili unareact tofauti. Mpango wako wa chakula utaundwa kulingana na mahitaji ya mwili wako.
Kuwa huru kula bila hofu!
Anza Sasa Kula UnavyopendeleaTathmini Chakula Kinachopandisha Sukari Yako
Kutathmini na kufuatilia kiwango cha sukari pamoja na aina ya vyakula unavyokula kila wakati kunakupa picha halisi ya nini kinachoisukuma sukari yako juu. Tazama video hii fupi uone jinsi unavyoweza kuweka kumbukumbu na kuchukua hatua sahihi.

Mpango Wa Mlo wa Kisukari
Hakuna kuchanganyikiwa tena jikoni!
- Mpango kamili wa siku saba wa vyakula vya Kitanzania
- Uwiano sahihi wa protini na nyuzinyuzi (fiber) za bei nafuu
- Mwongozo wa vipimo vya sahani kuzuia sukari kuruka juu
Fuatilia Kisukari Chako
Nini kinapandisha sukari yako? Baini na dhibiti sasa.
Rekodi na ufahamu mwenendo wa sukari kabla na baada ya mlo
Tathmini ufanisi wa dawa na mfumo wako wa maisha
Pata ripoti za kielektroniki za kumwonyesha daktari wako

Kuwa na Amani: Dhibiti na Epuka Madhara ya Presha Ki-Sayansi
Kudhibiti Presha kuna hitaji njia sahhi na madhubuti. Unaweza Sasa!
Jisajili Sasa Kujiunga na AfyaPlanAfyaPlan ni nini?
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya kisukari kupitia mlo sahihi na ufuatiliaji wa kila siku.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi kuhusu Aina, Kiasi, na Mchanganyiko wa vyakula vinavyostahili bila kutegemea ratiba za jumla.
Pia unapata tafsiri ya vipimo vyako vya sukari kulingana na mlo uliokula, na dondoo muhimu za kukuwezesha kuweka sukari yako kwenye wastani salama (Time in Range).
AFYAPlan APP INAVYOWEZA KUBORESHA MAISHA YAKO
Amani ya Akili
Kujua kiwango chako cha sukari na jinsi chakula kinavyoathiri mwili wako hukupa amani ya akili na kuondoa hofu ya kula.
Maamuzi Bora ya Mlo
Ukiwa na ushauri wa kitaalam, utajua mchanganyiko sahihi wa wanga, protini, na mbogamboga bila kubahatisha.
Kuzuia Madhara ya Kisukari
AfyaPlan itakusaidia kufuatilia sukari kwa karibu na kuchukua hatua mapema kuzuia madhara kwenye macho, figo, na mfumo wa neva.
Ushauri Binafsi Unaokufaa Wewe Pekee
Kila mwili unareact tofauti. Mpango wako wa chakula utaundwa kulingana na mahitaji ya mwili wako.
Kuwa huru kula bila hofu!
Anza Sasa Kula UnavyopendeleaFuatilia Shinikizo Lako la Damu (Presha)
Nini kinapandisha presha yako? Baini na dhibiti mapema.
Rekodi na ufahamu mwenendo wa namba zako za Presha (Systolic na Diastolic) kila siku
Tathmini ufanisi wa dawa, chakula, na mabadiliko ya mtindo wako wa maisha
Pata ripoti za kielektroniki za kumwonyesha daktari wako kwa urahisi

Maoni ya Wanaotumia
afyaplan
Nguvu za kiume
Kijifunza
Ushauri kuhusu presha ya kushuka
Naitumia vizuri kudhibiti kisukari kwa ratiba ya chakula. Mwanzo ratiba ilikuwa kama vile inakataa lakini taratibu nimeweza. Uzuri ni kwamba unaandika vyakula unavyovipendelea na unavyomudu gharama
Nguvu zakiume