Acha kubahatisha. Pata kalenda ya kisayansi, ushauri wa madaktari, na miongozo ya malezi kupitia UzaziSmart.
TSH. 2,500/= BADALA YA TSH. 10,000/=

Kila mwezi unajiuliza dalili unazohisi zina maana gani? Unapoteza muda na kupata wasiwasi bila sababu. UzaziSmart inabadilisha kila kitu—inakupa majibu ya kisayansi na ya uhakika popote ulipo, moja kwa moja kwenye simu yako.
Utakadiria kwa kiwango cha juu siku za kupata mimba kwa kufahamu mzunguko wako na siku zako kwa uhakika zaidi.


Inafahamu dalili zako na inazitumia kukadiria siku za kupata ujauzito. Hivyo kwa kujiamini unaamua kukutana na mpenzi ama la, bila wasiwasi wa kila mwezi.
✨ Ongeza Usahihi: Kuzidisha usahihi tumeongeza sehemu ya kuweka dalili zako ili kukupa makadirio ya uhakika zaidi!
UzaziSmart haikupi tu kalenda, inabadilisha kabisa mtindo wako wa maisha na kuleta amani katika mahusiano yako.
Ondokana na wasiwasi wa kupata ujauzito usiotarajiwa ukiwa masomoni au unajenga taaluma yako. Pata utulivu kamili wa kuangazia malengo yako ya baadaye.
Hakuna tena kutoelewana na mume au mpenzi wako mwisho wa mwezi. Shirikikianeni kufanya maamuzi sahihi ya uzazi kwa uwazi na kujiamini.
Acha miaka ya kujaribu bila mafanikio. Kwa kutambua siku na dalili halisi za ovulation, unaongeza nafasi ya kupata mtoto kwa wakati unaotaka.
Jiepushe na matumizi ya vidonge au njia zenye madhara makubwa kwa mwili wako. Elewa mzunguko wako asilia bila kuhatarisha afya yako.
Pata uwezo wa kutambua mara moja pindi unapoona mabadiliko au dalili zisizo za kawaida ili kuwahi hospitalini na kuokoa maisha yako au ya mtoto.
Pata mwongozo wa kitaalamu unaokupa mbinu na moyo wa kuhakikisha mtoto anapata maziwa ya kutosha na unamlea akiwa mwenye afya bora.

Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya
Dr. Adinan ambaye anaendelea kusaidia maelfu ya wagonjwa wa kisukari na presha kuepuka madhara kwa kudhibiti presha na kisukari kwa kutumia AFYAPlan-KIPA App...
Ndiye aliyekutengenezea Application hii ya UzaziSmart kukusaidia wewe kuwa na kujiamini, amani na furaha katika maisha yako.
Kabla ya kushika mimba, ni muhimu kuandaa mwili wako kupokea kiumbe kipya. Maandalizi sahihi yanapunguza vihatarishi na kuongeza nafasi ya kupata mtoto mwenye afya.

Usipitie safari ya ujauzito kwa wasiwasi. Pata daktari bingwa mkononi mwako saa 24/7 na uilinde afya ya mtoto wako kabla ya ofa hii ya bei ya punguzo kuisha.
🛍️ CHUKUA OFA YAKO SASA ➔Safari ya kuelekea uwezo wa kuitwa "Mama" inapaswa kuwa ya furaha na amani tele, si ya hofu na wasiwasi. Kuwa na amani kabisa na kila hatua unayopiga — tuko pamoja nawe mwanzo hadi unampakata mwanao salama!


Tunakuelekeza namna ya kutatua changamoto wakatii wa ujauzito. Ujauzito umegawanyika katika hatua tatu kuu (Trimesters). Kila wiki inaleta mabadiliko mapya kwa mama na mtoto anayekua tumboni.

Hakuna hisia nzuri kama kujua kinachoendelea ndani ya tumbo lako kila wiki. Kupitia mfumo wetu wa picha za wazi na maelezo ya kipekee, utajionea maajabu ya ukuaji wa mwanao kuanzia siku ya kwanza hadi sekunde anayokutana na mikono yako.
Fahamu lini moyo wake unaanza kupiga, vidole vyake vinapojitengeneza, anavyoanza kusikia sauti yako, na jinsi viungo vyake vinavyokua tayari kwa ajili ya kuja duniani.
Usibaki na maswali au hofu. Kuwa karibu zaidi na mwanao na ujenge uhusiano wa kipekee wa upendo hata kabla hajazaliwa.
Anza Kuona Maendeleo ya Mtoto Sasa ➔Kujifungua ni hatua muhimu ya kipekee inayohitaji maandalizi ya kisaikolojia, elimu sahihi ya mwili, pamoja na vifaa muhimu.

Kunyonyesha, kuongeza maziwa, na kuondoa msongo wa mawazo si safari ya kupita peke yako. Pata msaada wa daktari bingwa mkononi mwako sasa kabla ya punguzo la bei kuisha.
🛍️ PATA MSAADA BAADA YA KUJIFUNGUA SASA ➔Kujifungua ni mwanzo wa safari mpya kabisa. Mama wengi husahaulika baada ya mtoto kuzaliwa, lakini kwetu sisi afya yako na amani yako ya nafsi ni vya msingi sana. Tunakupa elimu na msaada wa karibu kukabili kila changamoto ya malezi ya awali.
Jifunze jinsi ya kumnyonyesha mtoto bila kupata maumivu ya chuchu, na mbinu za asili na kitaalamu za kuongeza maziwa ya kutosha kwa ajili ya mwanao.
Mabadiliko ya homoni na uchovu vinaweza kuleta msongo wa mawazo au hofu. Tunakupa msaada wa kisaikolojia na mbinu za kurudisha furaha na amani yako.
Miongozo ya lishe bora ya mama anayenyonyesha, utunzaji wa kidonda (cha upasuaji au kawaida), na jinsi ya kuurejesha mwili wako katika hali ya afya.


Miaka ya mwanzo ya maisha ya mtoto ndiyo msingi wa afya, akili na uwezo wake wa baadae. Kuelewa ratiba ya ukuaji inakusaidia kubaini maendeleo ya mtoto wako mapema.

Baada ya kuzaliwa, mtoto wako anahitaji uangalizi maalum katika kipindi cha Siku 1,000 za mwanzo ili kuweka msingi bora wa akili na afya ya mwili.
Soma jinsi UzaziSmart ilivyobadilisha maisha, kuleta amani, na kuokoa afya za familia nyingi nchini.
"Kabla ya kutumia UzaziSmart, mimi na mume wangu tulikuwa tukitumia apps za Ulaya. Matokeo yake tulipata mimba tatu bila kujitambua kwa sababu mzunguko wangu haukufanana na algorithms zao! Baada ya kuanza kutumia UzaziSmart nikiwa masomoni, nimeweza kuzuia mimba kwa usahihi wa 100% na kumaliza masomo yangu kwa amani."
"Nilikuwa nikihangaika kupata mtoto kwa miaka mitatu bila mafanikio. UzaziSmart ilinisaidia sio tu kufuatilia mzunguko wangu, bali pia kunifundisha kutambua dalili halisi za siku zangu za hatari (Ovulation). Tulipanga vizuri na mume wangu na mwezi wa pili tu nilipata ujauzito!"
"Wakati wa ujauzito wangu, app iliniandalia orodha ya dalili za hatari za kuangalia. Siku moja nilipoona dalili fulani niliitambua mapema na kuwahi hospitalini. Madaktari walisema kama ningechelewa masaa machache ningepoteza mtoto. Ushauri wa elimu ndani ya app hii ni wa dhahabu!"
"Maziwa yalipopungua nilichanganyikiwa na nilitaka kuanza kumpa mtoto maziwa ya kopo mapema sana. Kupitia miongozo na ushauri wa UzaziSmart, nilipata elimu sahihi na kupewa moyo. Maziwa yalirudi kwa wingi na mtoto wangu amenyonya maziwa ya mama pekee kwa miezi 6 bila shida!"
"Mimi na mume wangu tulikuwa na hofu kubwa ya madhara ya njia za kisasa za uzazi wa mpango. Kupitia elimu iliyo ndani ya app, tulishirikiana kuchagua njia salama na bora zaidi kwetu bila hofu. La sivyo ningechagua njia yenye madhara makubwa kwa mwili wangu."
"Usumbufu na wasiwasi wa kila mwezi umeisha kabisa. Mume wangu sasa anaelewa mzunguko wangu na tunafanya maamuzi kwa kujiamini. Dr. Adinan na timu yake wametutengenezea kitu cha kipekee kinachoenda na mazingira yetu ya Kitanzania!"
Jiunge na maelfu ya kina mama na wazazi wanaotumia UzaziSmart kupata elimu sahihi, ushauri wa wataalamu, na mwongozo wa hatua kwa hatua wa afya na ukuaji wa mtoto.

