Tunaweza kukusaidia kudhibiti Presha

Elimu sahihi
Ratiba bora wa vyakula
Tathmini
+
Tunaowasaidia
Waliodhibiti
%
Mafanikio

Sababu 3 Kwanini Umeshindwa Kudhibiti Presha Yako

Wagonjwa wengi wanapambana kudhibiti kisukari kupitia njia mbali mfano tiba lishe, dawa, dawa za asili au zote kwa pamoja bila mfanikio. Maana yake ni kwamba uko kwenye hatari ya kupata madhara ya kisukari kama vile figo au moyo kufeli, kiharusi na vidonda ingawa uko kwenye tiba.

Changamoto kuu tatu huwenda zinakuazuia kufikia malengo yako:

1-Huuelewi ugonjwa unafikiri presha ni kama magonjwa mengine, wakati mwengine huamini kama kweli unaugua kisukar, hii husababisha kutafuta tiba ambayo hutakaa uipate.

2-Umechanganyikiwa na taarifa. Unagussa hiki unaacha, bila nafuu. Unaanza kutumia tiba ingine wakati mwengine unachanganya, unaona inafanya kazi lakkini baada ya muda mrefu sukari yako inapanda tena. Hujui ufanye nini.

3- Umekosa daktari anayekuelewa na kukwambia vitu / kukushauri kulingana na mahitaji yako, mazingira yako nk.
Kwamfano, Kama unasema vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni ghali najua kabisa kuna kitu si sawa! Hukushauriana na Daktari wako alikupa maelekezo bila kusikikia maoni yako, au wewe kwasababu ujuazo hukuwa wazi kujadiliana``

Kutana na Dr. Adinan

Dr. Adinan huchukua muda wa kusikiliza wasiwasi wa kila mgonjwa na kubinafsisha matibabu ili yakidhi mahitaji yao ya kipekee. Kama mtafiti, Dr. Adinan yupo mstari wa mbele katika maendeleo ya tiba, akiendelea kutafuta njia bunifu za kuboresha matokeo ya wagonjwa.

Dr. Adinan

Namna tunavyokusaidia Kudhibiti Presha!


Kuwa na amani:
AFYATech inakuletea huduma ya PreshaPlan – mpango wa kitaalamu unaokusaidia kudhibiti shinikizo la damu kwa njia salama, bila hofu, na bila kubaki peke yako.
Huduma hii imesaidia Watanzania wengi tangu mwaka 2016 kupata utulivu na amani ya afya.

01

Kujisajili na Kufanyiwa Tathmini:

Tunapitia taarifa zako za kiafya kujua kiwango na aina ya presha unayopata.
Baada ya hapo tunakupendekezea mpango unaokufaa.

02

Mpango wa Kudhibiti Presha:

Tunakuandalia mpango wa vyakula, mazoezi, na mtindo wa maisha unaokufaa.
Unapata ushauri wa moja kwa moja kupitia AfyaPlan App kila wiki.

03

Ufuatiliaji na Tathmini:

Tunatathmini maendeleo yako kila wiki kuhakikisha afya yako inaimarika.

Wiki 12 Unapokuwa kwenye PreshaPlan

Week 1 – Siku 1

🩺 Medical Doctor – Tathmini ya Awali

Tathmini ya awali, uchambuzi wa historia ya afya, na mikakati ya awali

Week 1 – Siku 2

🍎 Nutritionist & Dietician

Uchambuzi wa lishe, mapendekezo ya vyakula vinavyopunguza presha

Week 1 – Siku 3

🧘🏽‍♂️ Physiotherapist

Mazoezi salama ya kusaidia kupunguza shinikizo la damu

Week 1 – Siku 4

🧠 Counselor / Psychologist

Kudhibiti msongo wa mawazo unaosababisha presha kupanda

Week 1 – Siku 5

👥 Ushuhuda:

Ushuhuda na mbinu za waliofanikiwa kudhibiti presha

Week 1 – Siku 6

👩🏽‍⚕️ Podiatrist / Nurse

Ufuatiliaji wa afya ya miguu na ushauri wa tiba nyumbani

Week 2–12

Kikao kila wiki

Ufuatiliaji na tathmini ya matokeo yako na daktari + wataalamu wengine inapohitajika

Ishi kwa Furaha na Familia yako

Presha Plan inafanikisha kwasababu kwa pamoja tunazingatia haya yafuatayo

Roho ya Ushindi

Ushindi ni muhimu kwasababu ugonjwa huu ni hatari na unaweza

Muongozo

Kutoka kwa wataaalamu wakati wote na urahisi wa kuwafikia na kujadiliana

Mipango Makini

Itakayokuepusha na kushika hichi na kuacha bila mafanikio

Tathmini

Inayokuwezesha kufahamu hatua hipi ina ufanisi ili kujirekebisha

Msaada

Kutoka kwa waboezi wa fani mbalimbali za afya muhimu kudhibiti presha

Uwajibikaji

wa makubaliano yetu kwamba tunataka matokeo. Tusiangushane

Wanavyosema waliojiunga!

Proven Coaching for Online Business Consultants

Consult and Make Strategies for

Corporates

Startups

SMEs

Non-profit

Personal

Usijiweke kwenye Hatari ya Kiharusi – Dhibiti Presha