🇹🇿 MAALUM KWA UNAYEJALI

Umeambiwa “Usiile Hii, Uache Ile”? Acha Kuteseka na Njaa Huku Sukari Ikipanda!

Fahamu Makosa 3 ya Kijiko Unayofanya. Sikiliza Video Hii Mpaka Mwisho!

Gharama ya Mwongozo Leo
TZS 73,000/= TZS 59,000/= Tu
📲 AGIZA KUPITIA WHATSAPP SASA Utajibiwa na Dr. Adinan moja kwa moja • Salama 100%

Ukishagunduliwa una kisukari, mara moja meza yako ya chakula inageuka kuwa gerezani. Unaambiwa uache ugali, uache mihogo, uache kila kitu kitamu. Matokeo yake unakula vitu usivyovipenda, unakonda kwa njaa, lakini cha kushangaza: Sukari bado iko palepale au inapanda tu!

Hebu jiuliza hili swali la msingi:

Kwanini wazee wetu walikuwa wanakula vyakula vya asili na waliishi miaka mingi bila kisukari kuwasumbua? Jibu ni rahisi sana: Sio kile unachokula, bali ni namna unavyokiandaa na kukichanganya mezani!

Siri 3 Utakazozijua Kwenye Kitabu Hiki:

1. Kuacha Njaa Sio Suluhisho

Tutakuonyesha jinsi ya kufurahia vyakula vyako vya Kitanzania bila kuogopa vipimo vya asubuhi. Hutalazimika kula chakula cha wagonjwa kilichokosa ladha tena.

2. Kufahamu Aina, Kiasi na Namna ya Kuchanganya Vyakula

Hakuna haja ya kubahatisha. Utajifunza kwa kina Aina sahihi za vyakula vinavyofaa, Kiasi kinachoruhusiwa, na namna ya kuvichanganya kwa ustadi bila kusababisha mshtuko kwenye mwili wako.

3. Mchanganyiko wa Kupunguza Kasi ya Sukari

Utajua namna ya kuchanganya vyakula vyako ili hata kama umekula wanga, sukari isafiri taratibu kwenda kwenye damu bila kusababisha mshtuko au kizunguzungu.

Sababu 3 Zinazokuweka kwenye Hatari ya Kupata Madhara Makubwa ya Kisukari

Ni wagonjwa wachache tu wenye Kisukari wanaofanikiwa kuweka viwango vyao vya sukari kwenye mstari ulio salama kwa kudumu. Wengi waliobaki, licha ya kunywa vidonge au kuchoma sindano za insulin kila siku, wanaendelea kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata madhara kama vile figo kufeli, vidole au miguu kukatwa (diabetic foot), upofu, au mishipa ya fahamu kuharibika.

Hizi ndizo Changamoto kuu 3 zinazokukwamisha na kukuweka kwenye Hatari:

1

Hujui Ukweli Halisi Kuhusu Vyakula Vinavyopandisha Sukari Yako

Athari kubwa ni Kuyumbishwa. Kila mtu anakushauri lake: “Usile ugali kabisa”, “Kula ndizi mbivu”, “Kunywa chai bila sukari lakini tia asali nyingi”. Unajikuta unakata tamaa na kusema “Sasa nile nini ikiwa kila kitu kinapandisha sukari?”

Ushahidi: Unajikataza vyakula vingi kwa shingo upande, lakini ukipima sukari unashangaa bado iko juu, au unahisi kizunguzungu na unajua kabisa hujala kitu kibaya.

Unavyotakiwa uwe kuanzia leo: Uwe na mwongozo wa uhakika unaokuonyesha vyakula vya Kitanzania unavyoweza kuvipata kwa urahisi sokoni na kuvila bila hofu ya sukari kupanda.

2

Hufahamu Kiwango Chako Halisi cha Sukari – Muda Mwingi

Athari kubwa: Kushambuliwa na madhara taratibu bila wewe kujua hadi yamefika pabaya.

Ushahidi: Watu wengi hupima sukari mara moja tu kwa mwezi wanapoenda hospitali kwenye kliniki, au hupima tu pale wanapojisikia vibaya sana. Siku ambazo hujapima unajiaminisha kuwa uko salama, kumbe sukari imekuwa juu kwa siku kadhaa mfululizo bila wewe kujua.

Unavyotakiwa uwe kuanzia leo: Uwe na utaratibu rahisi wa kufuatilia mwenendo wako wa sukari (tracking) kila siku ili ujue kabisa namba zako zinasemaje kabla haijawa too late.

3

Hufanyi Tathmini ya Kile Unachokula na Unachofanya

Athari kubwa: Unajaribu kupunguza kula leo, kesho unarudia mazoea yale yale bila kuona matokeo ya kudumu. Unakunywa dawa au mitishamba fulani uliyoambiwa inashusha sukari, lakini hukai chini kuangalia kama kweli inashusha au inakudanganya kwa muda mfupi tu.

Ushahidi: Leo sukari imesoma 10 mmol/L, kesho imesoma 7 mmol/L, kesho keshokutwa imepanda tena hadi 12 mmol/L. Hujui ni chakula gani au tabia ipi uliyoifanya jana iliyosababisha ipande au ishuke. Huna uhakika na chochote unachofanya.

Unavyotakiwa kuwa: Uwe na mfumo unaokuwezesha kurekodi na kufanya tathmini ya haraka (tracking and evaluation) ili ujue ni chakula gani mahsusi kilichopandisha sukari yako leo na kipi kilikuweka salama.

⚠️ UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA WATAALAM WAKO

Kwanini Sasa Hivi Hatukuachii Kitabu Pekee?

Kwa muda mrefu tulikuwa tunauza kitabu cha mwongozo wa mlo pekee. Lakini katika ufuatiliaji wetu wa karibu kwa wagonjwa wengi hapa nchini, tuligundua changamoto moja kubwa inayowakwamisha: Watu wengi walikuwa wanasoma kitabu, wanapata hamu, lakini walishindwa kufanya tracking (kufuatilia kwa ufanisi) ya kile wanachokula na jinsi kinavyoathiri sukari yao kila siku kwenye maisha halisi.

Kusoma kitabu pekee hakutoshi kama huna mfumo rahisi wa kupima, kuweka kumbukumbu, na kutathmini matokeo ya kila siku. Hali hii ilikuwa ikileta kuchanganyikiwa na watu kuacha njia sahihi mapema.

Ndiyo maana tukaenda hatua ya ziada na kutengeneza KIPA-App!

Hii siyo bonasi ya kupita njia; huu ni mfumo kamili wa kidijitali unaofanya kazi bega kwa bega na kitabu chako. Kupitia App hii, sasa unaweza kufuatilia kwa uhakika kabisa viwango vyako vya kisukari na presha, na utajua moja kwa moja vyakula vipi vinapandisha sukari yako na vipi vinainusuru kwa urahisi ukiwa na simu yako tu mkononi.

Faida yako kubwa: Sasa huhangaiki gizani. Unapata maarifa ya kitabu na nyenzo ya kisasa ya kupimia maendeleo yako kiganjani mwako!

Pata Mfumo Kamili (Kitabu + KIPA App) TZS 59,000/= Tu
CHUKUA KITABU NA APP SASA (LIPA KWA TIGO/MPESA)

Ushuhuda Halisi wa Matokeo

Tazama jinsi watumiaji wetu walivyofanikiwa kudhibiti sukari kiasili.

🔥 Changamoto ya Sukari Ushuhuda

“Hali ya sukari ilivyokuwa inatisha hapo awali kabla ya ratiba.”

🎉 Matokeo Sasa Ushuhuda

“Mabadiliko makubwa! Kiwango cha sukari kimeshuka na kutengemaa.”

🤝 Mwongozo na Msaada Ushuhuda

“Msaada endelevu unaompa mgonjwa amani ya moyo.”

💳 Uthibitisho wa Malipo Ushuhuda

“Mfumo rahisi na salama wa kujipatia kitabu bila usumbufu.”

Hatua Rahisi za Kulipia na Kupata Kitabu

1

Bonyeza kuweka oda, kisha lipia hivi:

2

Baada ya kukamilisha muamala wako:

3

Kukipata kitabu ni ndani ya dakika 5:

Je, Kitabu Hiki Ni Kwa Ajili Yako?

Una kisukari au unamlea mtu mwenye kisukari.

Unachanganyikiwa na ushauri tofauti wa vyakula.

Unahitaji mwongozo wa mlo salama na wa kudumu.

Maswali ya Mara kwa Mara

Kitabu kiko kwenye mfumo gani?

Ni e-book (digital) ambayo unaweza kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta wakati wowote.

Vipi simu ikiharibika au nikipoteza file?

Usijali, mara tu baada ya kununua unakuwa na akaunti yako ambapo unaweza kupakua upya kitabu chako wakati wowote kupitia mfumo wetu.

Nafanyaje Malipo?

Tuna mfumo salama wa PesaPal unaokubali M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Kadi (Visa/Mastercard).

OFA YA LEO ITAISHA BAADA YA:
00: 00: 00
Wekeza kwenye Afya (TZS 59,000)

Maoni ya Wanaotumia

mlo kisukari

5
J
John Kusiluka • 04/04/2026

Ni furaha iliyoje. Nimeweza kushusha sukari kwa vyakula Daktari.

AFYATech Admin 04/04/2026

Asante kwa ujumbe. Kama nilivyokushauri, tafadhali endelea kutumia app kufuatilia na ushauri mwengine wa kitaalamau.

H
Hawa Salim • 05/04/2026

Daktari asante, kwasasa sukari yangu inasoma 6.3 - 5.5 kutoka 18

M
Maleme Aloyce • 07/04/2026

Asante, nashauri kila mtu akisome. Kimenielekeza vizuri. Nimeweza kula mihogo na maharage kwa kiasi ulichoeleza mpaka sasa sukari imekaa sawa. Inasoma 6 badala ya 14 sasa. Asante sana

D
Daniel • 31/05/2026

Nahittaji kitabu

AFYATech Admin 01/06/2026

Karibu Daniel. Tupatie namba zako au tupigie 0783552959

D
Daniel • 31/05/2026

Nahittaji kitabu

AFYATech Admin 01/06/2026

Karibu Daniel. Tupatie namba zako au tupigie 0783552959

J
John Simkoko • 12/06/2026

Ndo nimeamnza kusoma Daktari. Nimepata mwanga mkubwa sana. Kwakweli peleka mtoto shule. Mungu akubariki sana

AFYATech Admin 14/06/2026

Asante kwa taarifa. Nasubiri kusikia mrejesho

S
Salum • 13/06/2026

Asanteni kwa uaminifu. Nilijua nimetapeliwa. Tena nilivylipa marambili kimakosa. Asante sana

Tuandikie maoni yako hapa:

Scroll to Top