UzaziSmart App | Fuatilia Siku za Uzazi kwa Uhakika

📱 JIACHIE NA HOFU: Pakua App ya UzaziSmart Leo na Ujue Siku Zako za Rutuba kwa 100% Uhakika!

Kwanini Tarehe 14 Huwa Inafeli Kwa Wanawake Wengi? 💕

“Neema alijaribu kila kitu. Alifuata kalenda ya kawaida, lakini kwa miaka 3, kila mwezi aliona alama nyekundu. Aliamini ana ‘mzunguko wa siku 28’ kwa sababu ndivyo alivyokariri…”

Siri ilikuja pale alipogundua kupitia App ya UzaziSmart kuwa mzunguko wake halisi ulikuwa wa siku 39. Alikuwa akijaribu kupata mtoto wakati mlango wa uzazi ukiwa umeshafungwa kitambo!

UzaziSmart Hedhi na Rutuba

Fahamu urefu wa mzunguko wako wa hedhi na siku za kupata mimba kwa uhakika.

PAKUA APP YA UZAZISMART SASA
Uzazi Salama na Ujauzito
Hatua ya Pili

Kuwa na Uzazi Salama Unapofuatilia Ujauzito Wako

Ujauzito sio safari ya kubahatisha. UzaziSmart App inakupa uwezo wa kufuatilia mabadiliko ya mwili wako wiki baada ya wiki, kupata lishe sahihi ya mjamzito, na kugundua ishara za hatari mapema kabla hazijaleta madhara.

Linda afya yako na ya kiumbe kilichopo tumboni.
Fuatilia Ukuaji wa Mtoto
Hatua ya Tatu

Tutakwenda Nawe Mpaka Kujifungua na Kufuatilia Afya ya Mwanao

Safari yetu haiishii chumba cha uzazi. Baada ya kujifungua salama, UzaziSmart App inakuwa msaidizi wako namba moja wa malezi. Fuatilia hatua za ukuaji wa mtoto wako siku hadi siku na dhibiti ratiba ya chanjo bila kusahau.

Hakikisha mwanao anapata haki na matunzo bora.

Faida Kubwa Unazopata kwa Kutumia UzaziSmart App

Uhakika wa 99% wa Siku za Rutuba

Ondoa hofu na stress za kubahatisha. Algorithm yetu ya akili inasoma mfumo wako wa kipekee wa hedhi na kukupa tarehe kamili za kupata ujauzito.

Ushauri wa Madaktari Bingwa 24/7

Huna haja ya kusubiri foleni hospitalini. Pata miongozo ya kitabibu iliyothibitishwa na wataalamu wa afya nchini Tanzania moja kwa moja kwenye simu yako.

Kikumbusho cha Chanjo na Kliniki

App inakukumbusha kiotomatiki siku ya chanjo ya mtoto au tarehe ya kwenda kliniki ya wajawazito ili usipitwe na hatua yoyote muhimu ya kinga.

Usalama na Siri ya Data Zako

Taarifa zako zote za afya, mzunguko wa hedhi, na maendeleo ya ujauzito zinalindwa kwa siri kubwa na teknolojia ya kisasa ya usalama.

“Wateja wengi ninaokutana nao kliniki hawana matatizo ya uzazi, wana tatizo la kukosa maarifa ya mzunguko wao wa kipekee. UzaziSmart App inamaliza kabisa changamoto hii kwa kuwapa vipimo sahihi kwenye simu zao.”

Dr. Adinan J.

Specialist & Founder, AFYATECH

Zana ya Bure ya Ushuhuda

Jaribu Mfumo Wetu Hapa

Huu ni mfano mdogo tu wa kile ambacho App yetu kubwa inafanya kwa usahihi zaidi.

📅 Fahamu Siku za Kupata Mimba (Hatari)

Anza Safari ya Kuitwa Mama

Usipoteze mwezi mwingine kwa kubahatisha kalenda za karatasi. Jiunge na Neema na maelfu ya wanawake waliofanikiwa leo.

PATA UZAZISMART BURE
Android & iOS
Ufikiaji Papo Hapo

© 2026 UZAZISMART | LINDWA NA AFYATECH

Maoni ya Wanaotumia

uzazismart

5
H
Hawa Salim • 05/04/2026

Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu

J
John Makune • 05/04/2026

Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan

J
Jane Aloyce • 07/04/2026

Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari

N
Neema • 10/04/2026

Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Neema. TUnafarijika kusikia hivi

A
Adellah ngaga • 12/04/2026

Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Adellah. Tunashukuru. Tafadhali sambaza ujumbe kwa wahtaj

R
Rehema • 17/04/2026

Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo

AFYATech Admin 24/04/2026

Asante sana dada Rehema kwa mrejesho wako. Tafadhali endelea kutumia mpaka tufikie lengo letu

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma yenu ni nzuri sana

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma Yenu Ni Nzuri Sana

AFYATech Admin 28/05/2026

Karibu sana Zuhura

Z
zaituni omar • 16/05/2026

Nahitaji kujuwa siku zangu za hatar

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

M
mosi • 16/05/2026

nataka kujuwa siku yangu ya hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Ni rahisi sasa. Nimebadilisha, badala ya kalenda nimeweka tarehe mahususi.Baala ya Kalenda hiviTumeweka hiviUrahisi wa kufuatilia hedhi na siku za hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

J
Janeth • 02/06/2026

Mimi Nina swali hedhi yangu ya mwisho ni tarehe 13/2/2026 naomba tarehe ya matazamio kujifungua.

AFYATech Admin 12/06/2026

Rahisi sana Janeth. Ushapakuwa UzaziSmart nikuelekeze jinsi ya kufahamu tarehe ya kujifungua?

R
Raya • 09/06/2026

Majibu mazir

AFYATech Admin 12/06/2026

Karibu sana Raya. Vipi unatumia UzaziSmart kufanya nini?

S
SUZAN SEMBOJA HATIBU • 13/06/2026

Huma yenu ni nzuri

AFYATech Admin 14/06/2026

Asante sana Suzan. Karibu sana.

Tuandikie maoni yako hapa:

🤍 Panga Uzazi Wako kwa Uhakika Tumia Kalenda ya Uzazi wa Mpango iliyorahisishwa kwa wanawake wa Afrika
🌸 Ipate Leo Leo
Scroll to Top