DaktariWangu Mobile App – App Bora ya Afya Yako
Msaidizi wa Afya Kiganjani

Ondokana na Hofu. Rejesha Amani. Furahia Maisha Elewa Majibu ya Vipimo Vyako na Udhibiti Afya Yako kwa Usahihi.

DaktariWangu inakupa tafsiri ya haraka ya vipimo vya maabara, shinikizo la damu, na sukari kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Mafunzo ya Matumizi ya App

Bonyeza somo lolote kuelewa jinsi ya kutumia huduma zetu.

Kuanza

Kuanza kutumia App

Hatua za mwanzo baada ya kupakua DaktariWangu.

Lugha

Kubadili Lugha

Jinsi ya kuweka app kwenye Kiswahili au Kiingereza.

Men’s Health

Kupima Nguvu za Kiume

Jinsi ya kutumia dodoso letu la kisayansi kuelewa hali yako.

Presha

Kutafsiri Presha

Maana ya namba zako za BP (Systolic & Diastolic).

Sukari

Majibu ya Kisukari

Elewa matokeo ya vipimo vya sukari (Fasting/Random).

Hedhi

Mzunguko wa Hedhi

Jinsi ya kufuatilia mzunguko wako kuzuia au kupata mimba.

Maabara

Tafsiri ya Vipimo

Jinsi ya kusoma majibu ya damu, mkojo na mengineyo.

Uzito

Kufahamu BMI Yako

Je, uzito wako unaendana na kimo chako?

Lishe

Lishe na Afya

Chakula bora kulingana na matokeo yako ya afya.

Msaada

Wasiliana Nasi

Jinsi ya kupata msaada zaidi ndani ya App.

“Kutoka Kwenye Mkanganyiko, Hadi Kwenye Uhakika.”

Urahisi wa Papo Hapo

Huna haja ya kusubiri saa 24 kupata tafsiri. Ingiza namba zako, pata majibu ndani ya sekunde 5.

Usahihi wa Kitabibu

Tumetumia miongozo ya WHO na wizara ya afya kuhakikisha kila tafsiri unayopata ni ya kisayansi.

Lugha Yako Pendwa

Tumeondoa maneno magumu ya kitabibu na kuweka Kiswahili rahisi kinachoeleweka na kila mtu.

Shuhuda Kutoka kwa Watumiaji

MK

“Niliacha hofu ya kisukari”

“Mama yangu alikuwa na majibu ya sukari yaliyokuwa yanatuchanganya kila siku. Baada ya kuanza kutumia **DaktariWangu**, niliweza kuelewa lini yuko hatarini na lini sukari imetulia. Inatusaidia sana kujua chakula gani ampe kulingana na namba za siku hiyo.”

— Mama Kelvin, Dar es Salaam

DA

“Msaada mkubwa kwa mwanafunzi”

“Kama mwanafunzi wa uuguzi, wakati mwingine nahitaji kurejea viwango vya kawaida vya vipimo (lab values) kwa haraka nikiwa wodini. Hii app imekuwa mwalimu wangu wa mfukoni. Ni rahisi, haina matangazo yanayokera, na taarifa zake ni za uhakika.”

— Daniel A., Student Nurse

Afya Yako Ndio Utajiri Wako.

Jiunge na mapinduzi ya afya nchini Tanzania. Tumia DaktariWangu leo.

Maoni ya Wanaotumia

daktariwangu

5
A
Ally Salum • 05/04/2026

Kaka Adinan, asante sana. Sasa nafuraha, nimefanikiwa kujua siku za hatari za mpenzi wangu. Duh, kila mwezi ilikuwa wasiwasi

M
Mhandisi Elias M. • 05/04/2026

Nimeacha kubahatisha kabisa. DaktariWangu App imenipa udhibiti kamili wa bajeti yangu ya mwaka. Hakuna tena gharama za dharura zisizopangwa.

S
Said Ally (Mfanyabiashara) • 05/04/2026

Urahisi wa kupata data ndio ulinivutia zaidi. Dakika 2 tu unajua ratiba yote ya mwezi kiganjani mwako. Ni ufanisi mkubwa kwa mwanaume mwenye majukumu mengi.

D
Dkt. Frank J. • 05/04/2026

Naitumia kumlinda mke wangu na madhara ya kemikali za uzazi wa mpango. Hii ndio zana sahihi kwa mwanaume anayejali afya ya mwenzi wake na heshima ya nyumba.

K
Kapteni Baraka • 05/04/2026

Inanipa amani ya moyo nikiwa safarini kikazi. Ninajua siku za hatari na salama kwa usahihi wa 99% bila kuuliza maswali mengi. Iko kimantiki zaidi.

Tuandikie maoni yako hapa:

Scroll to Top