Dhibiti na Epuka Madhara ya Kisukari na Presha
Muhimu ni Kujiunga kwenye Jukwaa Letu! Tumia mbinu ya Kisasa Kuwa na Amani!
Jisajili Sasa Kujiunga na AfyaPlanAfyaPlan ni nini?
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi, unatathmini matibabu yako na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.
Pia unapata ufafanuzi wa kina kuhusu masuala yote ya afya huku ukipata tafsiri ya vipimo mbalimbali, na dondoo muhimu kulingana na hali yako ya udhibiti wa presha / kisukari.
AFYAPlan APP INAVYOWEZA KUBORESHA MAISHA YAKO
Amani ya Akili
Kujua afya yako iko mikononi mwako hukupa amani ya akili na maisha bora zaidi bila wasiwasi mwingi wa kiafya.
Maamuzi Bora
Ukiwa na elimu na ushauri wa kitaalam, utakuwa na uwezo wa kufanya maamuzi bora kuhusu mlo, mazoezi, na matibabu yako.
Kuimarisha Afya
AfyaPlan itakusaidia kufuatilia afya yako kwa karibu na kuchukua hatua mapema, hivyo kupunguza hatari za matatizo makubwa.
Ushauri Binafsi Unaokufaa
Ushauri utalingana na hali yako ya afya kama usemavyo mwenewe.
Kuwa huru!
Anza Sasa Kula Unavyopendelea
Mpango Wa Mlo
Hakuna kuchanganyikiwa tena!
-
Mpango wa siku saba
-
Kulingana na vyakula unavyopendelea
-
Ushauri wa ziada
Fuatilia Kisukari
Nini kinapandisha sana sukari yako? Unaweza kufahamu haya kwa kufuatilia.
Fahamu kiwango chako cha sukari wakati wote
Kuwa na amani fahamu ufanisi wa matibabu yako
Ongeza motisha unapoweza kudhibiti sukari yako
Fuatilia Presha
Epuka madhara kwa kuchukua hatua stahiki.
Epuka madhara
Kuwa mstari wa mbele kuboresha afya yako
Furahia kila hatua unayopiga
Naitumia vizuri kudhibiti kisukari kwa ratiba ya chakula. Mwanzo ratiba ilikuwa kama vile inakataa lakini taratibu nimeweza. Uzuri ni kwamba unaandika vyakula unavyovipendelea na unavyomudu gharama