Rejesha Amani. Furahia Maisha!
Elewa Majibu ya Vipimo Vyako na Udhibiti Afya Yako kwa Usahihi.
DaktariWangu inakupa tafsiri ya haraka ya vipimo vya maabara, hali yako ya afya na ushauri wa haraka kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Mafunzo ya Matumizi ya App
Bonyeza somo lolote kuelewa jinsi ya kutumia huduma zetu kupitia YouTube Shorts.
KuanzaKuanza kutumia App
Hatua za mwanzo baada ya kupakua DaktariWangu.
LughaKubadili Lugha
Jinsi ya kuweka app kwenye Kiswahili au Kiingereza.
Men’s HealthKupima Nguvu za Kiume
Jinsi ya kutumia dodoso letu la kisayansi kuelewa hali yako.
PreshaKutafsiri Presha
Maana ya namba zako za BP (Systolic & Diastolic).
SukariMajibu ya Kisukari
Elewa matokeo ya vipimo vya sukari (Fasting/Random).
HedhiMzunguko wa Hedhi
Jinsi ya kufuatilia mzunguko wako kuzuia au kupata mimba.
MaabaraTafsiri ya Vipimo
Jinsi ya kusoma majibu ya damu, mkojo na mengineyo.
UzitoKufahamu BMI Yako
Je, uzito wako unaendana na kimo chako?
LisheLishe na Afya
Chakula bora kulingana na matokeo yako ya afya.
MsaadaWasiliana Nasi
Jinsi ya kupata msaada zaidi ndani ya App.
“Kutoka Kwenye Mkanganyiko, Hadi Kwenye Uhakika.”
Urahisi wa Papo Hapo
Huna haja ya kusubiri saa 24 kupata tafsiri. Ingiza namba zako, pata majibu ndani ya sekunde 5.
Usahihi wa Kitabibu
Tumetumia miongozo ya WHO na wizara ya afya kuhakikisha kila tafsiri unayopata ni ya kisayansi.
Lugha Yako Pendwa
Tumeondoa maneno magumu ya kitabibu na kuweka Kiswahili rahisi kinachoeleweka na kila mtu.
Shuhuda Kutoka kwa Watumiaji
“Niliacha hofu ya kisukari”
“Mama yangu alikuwa na majibu ya sukari yaliyokuwa yanatuchanganya kila siku. Baada ya kuanza kutumia **DaktariWangu**, niliweza kuelewa lini yuko hatarini na lini sukari imetulia. Inatusaidia sana kujua chakula gani ampe kulingana na namba za siku hiyo.”
— Mama Kelvin, Dar es Salaam
“Msaada mkubwa kwa mwanafunzi”
“Kama mwanafunzi wa uuguzi, wakati mwingine nahitaji kurejea viwango vya kawaida vya vipimo (lab values) kwa haraka nikiwa wodini. Hii app imekuwa mwalimu wangu wa mfukoni. Ni rahisi, haina matangazo yanayokera, na taarifa zake ni za uhakika.”
— Daniel A., Student Nurse
Maoni ya Wanaotumia
daktariwangu
Naitumia kumlinda mke wangu na madhara ya kemikali za uzazi wa mpango. Hii ndio zana sahihi kwa mwanaume anayejali afya ya mwenzi wake na heshima ya nyumba.
Urahisi wa kupata data ndio ulinivutia zaidi. Dakika 2 tu unajua ratiba yote ya mwezi kiganjani mwako. Ni ufanisi mkubwa kwa mwanaume mwenye majukumu mengi.
Nimeacha kubahatisha kabisa. DaktariWangu App imenipa udhibiti kamili wa bajeti yangu ya mwaka. Hakuna tena gharama za dharura zisizopangwa.
Kaka Adinan, asante sana. Sasa nafuraha, nimefanikiwa kujua siku za hatari za mpenzi wangu. Duh, kila mwezi ilikuwa wasiwasi
Dr. Adinan, we ni wajina wangu! Kwakweli nimefurahi na ukarimu wako. DaktariWangu imeniwezesha kurudisha ujasiri sana! Nilikuwa najua kwisha habari. Kumbe nina nguvu nyingi tuu. We na Dr. Mungia mnatisha sana!
Inanipa amani ya moyo nikiwa safarini kikazi. Ninajua siku za hatari na salama kwa usahihi wa 99% bila kuuliza maswali mengi. Iko kimantiki zaidi.