Njia 7 Bora za Kudhibiti Shinikizo la Damu Kwa Njia za Asili
Ili ushushe presha yako, ni lazima kwanza uijue, uifuatilie (track), na uchukue hatua sahihi.
Shinikizo la damu (140/90 mmHg au zaidi) mara nyingi haina dalili lakini inaweza kusababisha ugonjwa wa moyo, kiharusi, na uharibifu wa figo.
Ungependa tukusaidie kudhibiti Presha?
Kushusha presha ni safari inayohitaji mwongozo na ufuatiliaji wa karibu. Jiunge na programu ya **PreshaPlan** leo kupata mwongozo maalum wa milo, ratiba ya kubadili mfumo wa maisha, na usimamizi wa karibu wa wataalamu wa afya.
JIUNGE NA PRESHAPLAN SASAVidokezo 7 vya Kitaalamu
1. Punguza Uzito
Uzito kupita kiasi huongeza hatari ya shinikizo la damu na mkazo wa moyo.
PIMA UZITO WAKO2. Fanya Mazoezi
Dakika 30 za kutembea au kucheza huboresha mtiririko wa damu kwa kawaida.
FAHAMU MAZOEZI SALAMA4. Punguza Sodiamu
Chumvi nyingi huongeza presha. Lengo liwe chini ya miligramu 2,000 kwa siku.
HATARI ZA CHUMVI5. Punguza Pombe
Kunywa pombe kupita kiasi kunaweza kuongeza shinikizo la damu kwa haraka.
KIASI CHA POMBE SALAMA7. Punguza Msongo
Kutuliza akili kupitia yoga na kupumua kwa kina kunaweza kupunguza namba zako haraka.
TULIZA AKILI
Nafasi ya Leo Tu: Offer Kipimo cha Presha
Ushauri sahihi huanza na vipimo halisi. Jipatie kipimo chako cha presha leo, upate na Mwongozo wa Milo ya Presha (PDF) BURE!
Kushusha Presha kwa Haraka: Tiba au Madhara?
Tanzania, 23% ya wagonjwa wanatumia dawa, lakini wengi hawajui hali zao mapema. Kushusha presha haraka peke yako bila daktari inaweza kuleta madhara makubwa.
Mbinu Salama:
• Kupumua kwa kina• Mazoezi madogo
• Mwongozo vya daktari
Vyakula:
• Tikiti na machungwa• Oats na shayiri
• Omega-3 (Samaki)
Misingi 3 Ya Kushusha Presha Kwa Haraka
Fahamu
Kuwa na elimu sahihi kunakusaidia usihangaike au kuhangaishwa na taarifa zisizo na uthibitisho.
JIUNGE DARASA LA PRESHAChukua Hatua
Fuata mwongozo maalum ili udhibiti presha yako kwa ufanisi na kuepuka madhara ya muda mrefu.
JIUNGE DARASA LA PRESHAFuatilia
Hakikisha unajua nini kinakusaidia uendelee na nini hakisaidii ili uweze kukiacha.
JIUNGE DARASA LA PRESHAUngependa tukusaidie kudhibiti Presha?
Jiunge na watumiaji wengi waliochagua **PreshaPlan** kuweka namba zao sawa na kulinda mioyo yao kila siku.
JIUNGE NA PRESHAPLAN LEO© 2026 AfyaPlans. Haki zote zimehifadhiwa.