Rudisha Hamu, Uimara na Amani Kwenye Tendo Bila Dawa za Hatari
Gundua chanzo halisi cha changamoto yako kwa kutumia kipimo chetu rahisi badala ya kuendelea kukisia au kutumia dawa zisizo na majibu ya kudumu.
Wanaume 980+ Wamesaidiwa
95% wamerudisha furaha katika ndoa zao
NguvuPlan
Karibia 95% wanapitia Uchungu huu! Je, Umekwama Kwenye Mzunguko Huu Usio na Mwisho?
Kwanini Sisi HATUTOI Dawa Mwanzo?
Sababu ni 1 tu: Tutakuwa tunatibu nini?
Tumeona wagonjwa 980 mpaka sasa tangu Mwezi wa Nne. Hakuna hata mmoja aliyekuwa anapenda kufanya kipimo mwanzo.
Tulichokigundua kitakushangaza. Ungependa kufahamu?

Dr. Adinan MD, MSc, Fellow Fogarty
Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya
Tangu mwaka 2014, Dr. Adinan amekuwa mstari wa mbele kutafiti na kufundisha wagonjwa kwa mafanikio makubwa katika masuala ya kudhibiti magonjwa sugu ya mfumo wa maisha.
Hivi sasa, anaongoza timu yenye uweledi wa hali ya juu, ari, na kujituma kwa dhati kuhakikisha kila mteja anapata huduma ya karibu na matokeo yanayothibitika.
Chagua kifurushi chako ili kurudisha furaha na kujiamini.
Rudisha nguvu za kiume sasa.
- ✓ Kujipima
- ✓ Kupata Majibu ya ripoti yako
- ✓ Kujipima
- ✓ Majibu ya ripoti
- ✓ Ushauri wa Daktari Bingwa
- ✓ Kujipima
- ✓ Majibu ya ripoti
- ✓ Daktari Bingwa
- ✓ Programu Maalum ya Matibabu
Hatua 3 za Mwanzo za Huduma Zetu Mtandaoni

Jipime Mwenyewe Mtandaoni
Lengo la kwanza na la msingi ni wewe na daktari wako kuhakikisha kwa usahihi kwamba kweli una upungufu wa nguvu za kiume ama la. Utajipima kwa mfumo wetu wa kisayansi ukiwa mtandaoni.
Pata Majibu Yako ya Uhakika
Baada ya kukamilisha kujipima, mfumo unakupa majibu ya ripoti yako papo hapo ili uwe na uhakika kamili kuhusu afya yako badala ya kuendelea kukisia.


Tuma Majibu kwa Daktari
Unatuma majibu yako kwa daktari wetu ili kupata tafsiri ya kina na ushauri wa kitaalamu kuhusu hatua zinazofuata.

Mashauriano ya Moja kwa Moja na Daktari
Kulingana na huduma uliyoichagua, daktari atakutafsiria vipimo vyako kwa undani. Mtapanga muda wa kuzungumza utakaokuwa mzuri na wa amani kwako na kwa daktari ili kuweka mikakati ya kurejesha afya yako.
Ufuatiliaji wa Kina & DaktariWangu App
Kwa huduma hii ya miezi mitatu, unakuwa na daktari mkojo mmoja na unatumia DaktariWangu App kufuatilia matibabu na matokeo yote. Kila wiki unakuwa na kikao cha kuzungumza na daktari kwa muda mlioupanga ili kuhakikisha unapata matokeo ya permanent.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Pata uelewa wa jinsi mfumo wetu unavyofanya kazi kabla ya kuanza matibabu.
1
Nitapimaje wakati niko mbali au mkoani?
▾
Hauhitaji kusafiri! Mfumo wetu unatumia Screening Assessment ya Kidijitali (Online Diagnostic Assessment). Unajibu maswali maalum yanayochambua dalili, historia ya afya, na mfumo wako wa maisha. Majibu yako yanasomwa na mfumo pamoja na Daktari Bingwa ili kutambua chanzo halisi cha tatizo lako mahali popote ulipo.
2
Je, naweza kupewa dawa bila kufanya kipimo/tathmini?
▾
Hapana, hauwezi. Kutoa dawa bila kupima ndio sababu kuu watu wengi wanatumia dawa nyingi bila kupona. Nguvu za kiume husababishwa na vitu tofauti (kama vile mzunguko wa damu, homoni, au kisaikolojia). Ni lazima ufanye utathmini kwanza ili upewe matibabu yanayolenga chanzo chako halisi badala ya kubahatisha.
3
Huduma hii inatolewaje hadi kukamilika?
▾
- Kujaza Utathmini: Unajibu maswali machache ya afya kwenye mfumo.
- Kupata Ripoti & Ushauri: Daktari anachambua majibu yako na kukupa ripoti kamili ya chanzo cha tatizo.
- Programu ya Matibabu: Unapewa ratiba au tiba maalum na kufuatiliwa (follow-up) hadi unapopona kabisa.
4
Nyie mko wapi?
▾
Huduma yetu inakufikia popote ulipo kwa haraka, ufanisi na usiri wa hali ya juu. Hii ni huduma ya mtandaoni iliyobuniwa na Dr. Adinan Juma ikiwa na lengo la kuwafikia wahitaji wengi zaidi. Dr. Adinan amefanya hivi kwa wagonjwa wa presha, kisukari, mama wajawazito na sasa kwako. Ni mtafiti na mkufunzi kwenye vyuo vya KCMC.
5
Nitapatiwaje Dawa?
▾
Utapata dawa baada ya vipimo. Wagonjwa wetu 85 kati ya 100 hawahitaji dawa — huwa tunawapa maelekezo na mtindo sahihi wa maisha na wanafanikiwa kikamilifu. Ukihitaji dawa au vipimo vingine vya ziada, tunakuelekeza kwenye hospitali au maduka ya dawa ya karibu tunayoshirikiana nayo.
6
Nyie ni hospitali?
▾
Hapana, ni taasisi inayosaidia wagonjwa na wahitaji wa huduma ya afya kokote walipo kwa kutumia teknolojia. Hata hivyo, tunajipanga kuboresha hospitali zilizopo na kushirikiana nazo kwa ukaribu kuliko kuanzisha mpya. Tunasubiri maoni ya wadau ikiwemo wewe — wakituambia na kutupa nguvu ya kufungua hospitali tutafanya hivyo.
Mfumo wa Screening Assessment
Je, ni changamoto gani kubwa ya nguvu za kiume inayokusumbua au inayokosesha amani zaidi kwa sasa?
Umekuwa ukitumia njia gani huko nyuma kujaribu kutatua changamoto hii, na umepata matokeo gani?
Uko tayari kuchangia kiasi gani kwa sasa ili kupata suluhisho la uhakika la changamoto yako?
Tathmini Yako Imekamilika!
Weka taarifa zako hapa chini ili kuunganishwa na Daktari na kupata maelekezo ya kipimo.