🛡️ Ukurasa Maalum wa Wanaume (Miaka 30+) • Siri 100%

Rejesha Uimara, Hamu na Stamina za Ujana Wako Bila Dawa za Hatari

Unahisi stamina imepungua au uimara unarudi nyuma baada ya miaka 30? Tumia fursa hii ya Ofa Maalum kujipima na kujua chanzo halisi cha mabadiliko ya mwili wako kwa TSh. 5,000/= Tu badala ya 15,000/=!

👇 Soma makala yote kufahamu huduma yetu ilivyo

ONGEA NA DR. ADINAN WHATSAPP (TSh 5,000)

NguvuPlan

Kama mwanaume najua uchungu, fedheha na aibu ya kupungukiwa nguvu za kiume. Karibia 95% ya wanaume wanapitia mzunguko huu unaoumiza. Je, nawe umekwama kwenye mzunguko huu?

Unapohisi mabadiliko mwilini, huenda ukajikuta ukipitia hatua hizi bila kupenda:
Ukihisi kupoteza uimara wa uume au hamu ya tendo la ndoa
▼
Kwa haraka na matumaini, unatafuta suluhisho. Huenda ukanunua dawa unayokutana nayo popote
▼
Huenda isikusaidie kabisa, au ikakupa majibu ya muda mfupi tu
▼
Msongo wa mawazo unaongezeka na huwenda ukuondoa furaha yako na ya mpenzi wako
▼
Hivyo unajikuta ukitafuta na kujaribu dawa nyingine tena na tena bila suluhu ya kudumu
Kwanini suluhisho la kudumu linachelewa? Nia yako ni nzuri. Ila, Huenda unatumia dawa ambayo si tiba. Yani haitibu tatizo ulilonalo. Hivyo ni muda sasa wa kubaini chanzo halisi kupitia kipimo. Ukijua chanzo chako, utapata suluhisho la kudumu!
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara – NguvuPlan
Majibu ya Haraka

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Pata uelewa wa jinsi mfumo wetu unavyofanya kazi kabla ya kuanza matibabu.

1 Nitapimaje wakati niko mbali au mkoani?
▾

Hauhitaji kusafiri! Mfumo wetu unatumia Screening Assessment ya Kidijitali (Online Diagnostic Assessment). Unajibu maswali maalum yanayochambua dalili, historia ya afya, na mfumo wako wa maisha. Majibu yako yanasomwa na mfumo pamoja na Daktari Bingwa ili kutambua chanzo halisi cha tatizo lako mahali popote ulipo.

2 Je, naweza kupewa dawa bila kufanya kipimo/tathmini?
▾

Hapana, hauwezi. Kutoa dawa bila kupima ndio sababu kuu watu wengi wanatumia dawa nyingi bila kupona. Nguvu za kiume husababishwa na vitu tofauti (kama vile mzunguko wa damu, homoni, au kisaikolojia). Ni lazima ufanye utathmini kwanza ili upewe matibabu yanayolenga chanzo chako halisi badala ya kubahatisha.

3 Huduma hii inatolewaje hadi kukamilika?
▾
Huduma inatolewa kwa hatua 3 rahisi:
  1. Kujaza Utathmini: Unajibu maswali machache ya afya kwenye mfumo.
  2. Kupata Ripoti & Ushauri: Daktari anachambua majibu yako na kukupa ripoti kamili ya chanzo cha tatizo.
  3. Programu ya Matibabu: Unapewa ratiba au tiba maalum na kufuatiliwa (follow-up) hadi unapopona kabisa.
4 Nyie mko wapi?
▾

Huduma yetu inakufikia popote ulipo kwa haraka, ufanisi na usiri wa hali ya juu. Hii ni huduma ya mtandaoni iliyobuniwa na Dr. Adinan Juma ikiwa na lengo la kuwafikia wahitaji wengi zaidi. Dr. Adinan amefanya hivi kwa wagonjwa wa presha, kisukari, mama wajawazito na sasa kwako. Ni mtafiti na mkufunzi kwenye vyuo vya KCMC.

5 Nitapatiwaje Dawa?
▾

Utapata dawa baada ya vipimo. Wagonjwa wetu 85 kati ya 100 hawahitaji dawa — huwa tunawapa maelekezo na mtindo sahihi wa maisha na wanafanikiwa kikamilifu. Ukihitaji dawa au vipimo vingine vya ziada, tunakuelekeza kwenye hospitali au maduka ya dawa ya karibu tunayoshirikiana nayo.

6 Nyie ni hospitali?
▾

Hapana, ni taasisi inayosaidia wagonjwa na wahitaji wa huduma ya afya kokote walipo kwa kutumia teknolojia. Hata hivyo, tunajipanga kuboresha hospitali zilizopo na kushirikiana nazo kwa ukaribu kuliko kuanzisha mpya. Tunasubiri maoni ya wadau ikiwemo wewe — wakituambia na kutupa nguvu ya kufungua hospitali tutafanya hivyo.

Dr. Adinan MD.MSc.Fellow.Fogarty
10+ Miaka ya Uzoefu
Kiongozi na Mtaalamu Mkuu

Dr. Adinan MD, MSc, Fellow Fogarty

Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya

Tangu mwaka 2014, Dr. Adinan amekuwa mstari wa mbele kutafiti na kufundisha wagonjwa kwa mafanikio makubwa katika masuala ya kudhibiti magonjwa sugu ya mfumo wa maisha.

Hivi sasa, anaongoza timu yenye uweledi wa hali ya juu, ari, na kujituma kwa dhati kuhakikisha kila mteja anapata huduma ya karibu na matokeo yanayothibitika.

🔬 Utafiti Uliothibitishwa
🏥 Utaalamu wa Mifumo ya Afya
👥 Timu Iliyojitolea

Kwanini Sisi HATUTOI Dawa Mwanzo?

Sababu ni 1 tu: Tutakuwa tunatibu nini?

Tumeona wagonjwa 980 mpaka sasa tangu Mwezi wa Nne. Hakuna hata mmoja aliyekuwa anapenda kufanya kipimo mwanzo.

Ajabu, Kipimo chenyewe ni TSh. 5,000/= tu! Lakini mtu anataka dawa bila kujua chanzo.

Tulichokigundua kitakushangaza. Ungependa kufahamu?

Kati ya washiriki 1,978, ni washiriki 40 tuu waliokuwa na upungufu wa nguvu za kiume unaohitaji tiba ya dawa au upasuaji.

Wengine wote waliobaki, walishauriwa na nguvu zikarejea.

Chagua kifurushi chako ili kurudisha furaha na kujiamini.

Rudisha nguvu za kiume sasa.

1️⃣ KIFURUSHI CHA MSINGI
TSh 5,000
  • ✓ Kujipima
  • ✓ Kupata Majibu ya ripoti yako
🔥 Inayopendwa Zaidi
2️⃣ KIFURUSHI CHA KATI
TSh 10,000
  • ✓ Kujipima
  • ✓ Majibu ya ripoti
  • ✓ Ushauri wa Daktari Bingwa
3️⃣ KIFURUSHI KAMILI
TSh 20,000
  • ✓ Kujipima
  • ✓ Majibu ya ripoti
  • ✓ Daktari Bingwa
  • ✓ Programu Maalum ya Matibabu
Kifurushi cha TSh 5,000/=

Hatua 3 za Mwanzo za Huduma Zetu Mtandaoni

Unapima nguvu za kiume kisayansi
Hatua ya 1

Jipime Mwenyewe Mtandaoni

Lengo la kwanza na la msingi ni wewe na daktari wako kuhakikisha kwa usahihi kwamba kweli una upungufu wa nguvu za kiume ama la. Utajipima kwa mfumo wetu wa kisayansi ukiwa mtandaoni.

Hatua ya 2

Pata Majibu Yako ya Uhakika

Baada ya kukamilisha kujipima, mfumo unakupa majibu ya ripoti yako papo hapo ili uwe na uhakika kamili kuhusu afya yako badala ya kuendelea kukisia.

Unakuwa na Uhakika Kama Una Upungufu Kweli
Unatuma majibu ya nguvu za kiume kwa Daktari
Hatua ya 3

Tuma Majibu kwa Daktari

Unatuma majibu yako kwa daktari wetu ili kupata tafsiri ya kina na ushauri wa kitaalamu kuhusu hatua zinazofuata.

Miezi 3 Ya Matibabu — TSh 20,000/=

Ufuatiliaji wa Kina & DaktariWangu App

Kwa huduma hii ya miezi mitatu, unakuwa na daktari Bingwa wa Mfumo wa Uzazi na Mkojo mmoja na unatumia DaktariWangu App kufuatilia matibabu na matokeo yote. Kila wiki unakuwa na kikao cha kuzungumza na daktari kwa muda mlioupanga ili kuhakikisha unapata matokeo ya kudumu.

Ufuatiliaji na DaktariWangu App
🛡️ Ukurasa Maalum wa Wanaume (Miaka 30+) • Siri 100%

Dawa Gani Ni Sahihi Kwako Kurudisha Nguvu za Kiume?

Acha kubahatisha afya yako! Tumia simu yako kujipima sasa ili ufahamu kwa uhakika chanzo halisi cha tatizo lako na kupata matibabu ya kudumu. Tumia fursa hii ya Ofa Maalum kujipima kwa TSh. 5,000/= Tu badala ya 15,000/=!

Scroll to Top