Jinsi ya Kutumia Kalenda ya Uzazi wa Mpango (Na Kosa Kuu Linalofanywa)

Kalenda ya uzazi wa mpango hukusaidia kujua siku za hatari na salama kulingana na mzunguko wa hedhi.

Lakini hapa ndipo wengi hukosea 👇
Kalenda ya kawaida haiwezi kujibadilisha mzunguko unapobadilika.


Kalenda ya Uzazi wa Mpango Inafanyaje Kazi?

Kwa kawaida:

  • Mzunguko huchukua siku 21–35
  • Ovulation hutokea katikati
  • Siku za hatari ni siku 4–5 kabla na baada ya ovulation

⚠️ Changamoto:

  • Msongo wa mawazo
  • Magonjwa
  • Kubadilika kwa homoni

Vyote hivi hubadilisha mzunguko.


Kwa Nini Kalenda ya Uzazi wa Mpango (PDF/MP3) Haitoshi

  • ❌ Haiwezi kukumbusha
  • ❌ Haiwezi kubadilika mzunguko ukibadilika
  • ❌ Haina tahadhari mapema
  • ❌ Haina ufuatiliaji wa ujauzito

👉 Ndiyo maana watu wengi bado: hupata mimba bila kupanga au hushindwa kupata mimba kwa wakati waliotaka


UzaziSalama: Kalenda Inayofikiri Kwa Niaba Yako

UzaziSalama App:

  • Hukokotoa mzunguko wako binafsi
  • Hukupa siku za hatari kwa usahihi zaidi
  • Hukumbusha mapema
  • Hufanya kazi kila mwezi — sio makisio ya mara moja

Unawezaje Kutumia UzaziSmart kama Kalenda ya Uzazi wa Mpango?

👉 UzaziSmart imetengenezwa na inasaidiwa zaidi ya watumiaji 1,500

  • Kupanga Wakati wa Kubeba Mimba: Hata kabla hujapata ujauzito, inakusaidia kujua siku za hatari ili uweze kupanga maisha yako.

  • Kukadiria Tarehe ya Kujifungua: Ili uandae bajeti, wasaidizi, na vifaa vya mtoto bila msongo wa mawazo.

  • Kufuatilia Ukuaji wa Mtoto: Jua ukubwa wa mwanao kila wiki na hatua anazopitia.

Kazi yetu ni kukupatia huduma rafiki unayoweza kuipata popote kupitia technologia rahisi.


🤍 Panga Uzazi Wako kwa Uhakika Tumia Kalenda ya Uzazi wa Mpango iliyorahisishwa kwa wanawake wa Afrika
🌸 Jaribu Kutumia Kalenda Leo
Scroll to Top