UzaziSmart – Uhakika wa Uzazi Wako
Elimu ya Uzazi Kidijitali

Acha Kubahatisha! Jua Siku Zako za Hatari kwa Uhakika na Uepuke Makosa ya Kalenda.

Usipange uzazi kwa mazoea. Jifunze jinsi teknolojia inavyoweza kukulinda dhidi ya mimba zisizotarajiwa kwa usahihi wa 100%.

Utofauti wa Siku za Hatari

Kila mwanamke ana mzunguko wake. Usikariri tarehe, elewa mfumo wako:

Mzunguko wako Siku za Hatari
Mzunguko Mfupi (Siku 21) Siku 4 – 9
Mzunguko wa Kawaida (Siku 28) Siku 10 – 15
Mzunguko Mrefu (Siku 35) Siku 18 – 24

Mbona Kalenda ya Karatasi Ni Hatari?

  • Inashindwa kutambua mabadiliko ya ghafla ya homoni.
  • Haikupi taarifa (alert) siku ya hatari inapokaribia.
  • Haiwezi kutunza kumbukumbu za afya yako kwa miaka.

Jifunze Zaidi Kupitia Video

Bonyeza video yoyote kuanza somo lako sasa.

TAZAMA VIDEO

Hatua ya 1: Download

Jinsi ya kupata App ya UzaziSmart kwenye simu yako kwa sekunde chache.

TAZAMA VIDEO

Anza Safari Yako

Mwongozo wa haraka wa kujiunga na kutengeneza profile yako ya afya.

TAZAMA VIDEO

Siri ya Mzunguko

Fahamu jinsi mzunguko wako unavyofanya kazi na jinsi ya kuufuatilia.

TAZAMA VIDEO

Tarehe ya Furaha

Jifunze jinsi ya kukokotoa tarehe ya kujifungua (EDD) kwa usahihi kabisa.

TAZAMA VIDEO

Ujauzito Salama

Furahia kila hatua ya ukuaji wa mtoto wako ukiwa na mwongozo bora.

Usiendelee Kubahatisha Maisha Yako.

Jiunge na maelfu ya wanawake wanaotumia UzaziSmart kulinda afya zao na familia zao.

Pata App ya UzaziSmart LEO
Scroll to Top