Fahamu Tarehe ZOTE Muhimu Kuhusu Ujauzito
Tarehe ya kujifungua. Umri wa mimba. Mimba kutunga. Siku za hatari
Faida za Kalenda ya Mimba
Kukadiria Tarehe ya Kujifungua: Pata tarehe inayokadiriwa ya kujifungua na ujipange mapema.
Kujua Siku za Hatari: Fahamu siku zako za hatari za kupata mimba na uweze kupanga uzazi kwa ufanisi.
Kupanga Majira ya Kujifungua: Chagua wakati bora wa kujifungua kulingana na mahitaji yako na familia yako.
Tuna Uhakika wa Ufanisi Kalenda Hii!
Kalenda ya Mimba imenisaidia sana kupanga uzazi wangu na kufuatilia ukuaji wa mtoto wangu. Nimefurahia sana huduma hii!”
Khadija
Fahamu Umri wa Ujauzito kwa Usahihi πΌπ
“Tambua umri sahihi wa ujauzito na tarehe ya kujifungua kwa kutumia AfyaPlan β rahisi na haraka!”
Hesabu Umri wa Ujauzito Wako
Fuatilia Ukuaji wa Mtoto Wako Kila Hatua πΆπ
“Tambua hatua muhimu za ukuaji wa mtoto wako kwa kutumia AfyaPlan. Furahia kila hatua!”
Andika umri wa ujauzito katika wiki (1-40) kufahamu maendeleo ya mwanetu: