UzaziSmart | Safari ya Furaha na Amani

Je, Umechoka Kutafuta Majibu Bila Mafanikio?

“Tunajua unahitaji kusikilizwa kwa makini. Unahitaji daktari anayezungumza nawe kiurafiki, anayeelewa changamoto zako za afya ya kila siku au kipindi chako cha ujauzito. Hapa, hupokelewi kama namba, bali kama mwanamke unayethaminiwa.”

UzaziSmart: Amani Yako Ipo Kiganjani

Kutoka kufahamu siku zako za hatari hadi siku ya kumpokea mwanao—tunakupa mbinu za kisasa na ushauri wa kitaalamu unaoondoa hofu na kuleta furaha.

Ongea na Daktari Sasa

UzaziSmart App

Msaidizi wa Kidijitali saa 24/7

TSh 5,000 kwa mwaka mmoja
  • Afya ya Wanawake: Uliza maswali wakati wowote.
  • Mzunguko: Fahamu siku zako za hatari.
  • Ujauzito: Kikokotoo cha tarehe ya kujifungua.
  • Uchungu: Tambua dalili za kuanza kwa uchungu.
Jiunge na App

Ushauri Binafsi

Maongezi ya siri na Dr. Bingwa

TSh 15,000 kwa huduma moja
  • Sikilizwa kwa makini kuhusu tatizo lako.
  • Ushauri wa haraka na wa kitaalamu.
  • Suluhisho la changamoto za afya ya uzazi.
  • Maelekezo rasmi ya kitabibu (Prescription).
Pata Ushauri
WA

© 2026 UzaziSmart / UzaziSalama. Tunakusikiliza, Tunakujali.

Uzazi Salama: Furahia Ujauzito wako!

Ushauri wa Kitaalamu kwa wajawazito

TSh. 9,900/=, 19,900 tu kwa Mwaka!

Kwanini huduma hii imekuwa bora?

Amani

unapokuwa na daktari wako popote na wakati wowote.

Tuko pamoja kumlinda mtoto wetu ajaye, kwa ushauir wa kitaalamu.

No. Hofu!

kwa majibu ya uhakika kutoka kwa wataalamu waliobobea.

Shinda changamoto kwa dondoo kupitia WhatsApp.

Muda & Fedha

kwa majibu ya uhakika kutoka kwa wataalamu

Epuka kutumia pesa nyingi kutafuta majibu mitandaoni usiyokuwa na uhakika nayo

Chagua Plan Yako Sasa!

Tunajua inafanya kazi​

Amina K.
“Kwa gharama hii nafuu, huduma ni ya kiwango cha juu. Ushauri wa kitaalam na uzoefu wa kina kutoka kwa wajawazito wengine uliniwezesha kuwa na ujauzito wenye afya na salama.”

Boresha afya yako na ya mwanao

Jiunge leo na AFYAPlan Uzazi Salamakwa gharama nafuu na huduma bora zaidi.

Jaza taarifa zako

Scroll to Top