⚠️ TAHADHARI: Zaidi ya 70% ya wenye presha hawana dalili zozote hadi siku ya madhara. Pima mapema leo nyumbani!
🛡️ Mfumo wa Kisayansi wa Kudhibiti Presha

Dhibiti Presha Nyumbani Kwako Bila Hofu ya Kiharusi (Stroke) au Figo Kufeli

Pata vifaa vya kidigitali vilivyothibitishwa, mwongozo wa lishe, na ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa Dr. Adinan kupitia mfumo wa KIPA.

✓ Warranty Mwaka 1 ✓ Malipo Salama ✓ Usimamizi wa Daktari
Dhibiti Presha Kikamilifu - BP Machine, KIPA App na Kitabu - PreshaPlan Set

Kwanini Presha Inaitwa “Muuaji wa Kimya Kimya”?

Presha haina maumivu wala dalili za wazi hadi inapofikia hatua ya kuharibu viungo vyako vya ndani.

🧠

Kiharusi (Stroke)

Mishipa ya damu ubongoni inaweza kupasuka ghafla kutokana na shinikizo kubwa bila wewe kuhisi maumivu yoyote kabla.

🫘

Figo Kufeli

Presha ya juu huharibu vichujio vya figo kimya kimya hadi mgonjwa anapohitaji kusafishwa damu (dialysis) bila kujua ilianza lini.

❤️

Ulinzi wa Uhakika

Kupima nyumbani mara kwa mara huondoa taharuki, huokoa maisha, na kumpa daktari taarifa sahihi za kuboresha tiba yako.

OFA MAALUM YA LEO

🔥 Punguzo hili linafungwa ndani ya:

23
:
59
:
59

⚡ Zimebaki seti 3 pekee kwa bei ya ofa ya sasa!

Chagua Kifurushi Chako Sasa ↓
Dr. Adinan MD.MSc.Fellow.Fogarty
10+ Miaka ya Uzoefu
Kiongozi na Mtaalamu Mkuu

Dr. Adinan MD, MSc, Fellow Fogarty

Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya

Tangu mwaka 2014, Dr. Adinan amekuwa mstari wa mbele kutafiti na kufundisha wagonjwa kwa mafanikio makubwa katika masuala ya kudhibiti magonjwa sugu ya mfumo wa maisha.

Hivi sasa, anaongoza timu yenye uweledi wa hali ya juu, ari, na kujituma kwa dhati kuhakikisha kila mteja anapata huduma ya karibu na matokeo yanayothibitika.

🔬 Utafiti Uliothibitishwa
🏥 Utaalamu wa Mifumo ya Afya
👥 Timu Iliyojitolea
Mfumo Kamili wa Zana 5

Zana 5 Muhimu Zilizopo Kwenye Mpango Huu

Kila kifaa na nyenzo ina jukumu maalum la kisayansi kukuhakikishia udhibiti kamili wa presha, sukari, na uzito nyumbani kwako.

Kipimo cha Presha cha Digitali

1. Kipimo cha Presha cha Digitali

Kipimo cha kisasa cha kidigitali chenye usahihi wa hospitali, rahisi kujipima mwenyewe na kinachohifadhi kumbukumbu za nyuma.

  • ✓ Skrini kubwa inayoonekana vizuri
  • ✓ Inapima presha na mapigo ya moyo
  • ✓ Inahifadhi rekodi za vipimo vilivyopita
Kipimo cha Sukari cha GlucoNavii

2. Kipimo cha Sukari (GlucoNavii)

Kipimo cha kisasa kinachotoa majibu ndani ya sekunde 5 pekee bila maumivu makali, kikiwa na vifaa vyake vyote vya kuanzia.

  • ✓ Kinakuja na strips 25 na lancets 25
  • ✓ Majibu ya haraka ndani ya sekunde 5
  • ✓ Hakuna haja ya kuset code (Auto-coding)
Kipimo cha Uzito Mizani ya Kidigitali

3. Mizani ya Kidigitali (Body Scale)

Mizani ya kisasa yenye sensorer sahihi kufuatilia uzito na BMI ili kuhakikisha uzito wako hauongezi hatari ya presha kupanda.

  • ✓ Usahihi wa hali ya juu wa uzito
  • ✓ Kioo kigumu (Tempered glass) kinachobeba hadi kilo 180
  • ✓ Skrini ya kidigitali inayowaka vizuri
Kitabu cha Presha Ebook

4. Kitabu cha Mwongozo wa Chakula (Ebook)

Mwongozo kamili unaoeleza vyakula vya asili vya Kitanzania vinavyosaidia kudhibiti presha na sukari, viungo salama na ratiba za mlo.

  • ✓ Ratiba ya mlo wa wiki 4
  • ✓ Orodha ya vyakula vya kuepuka na vinavyofaa
  • ✓ Mwongozo wa kupunguza chumvi na mafuta
Fuatilia Ufanisi wa Vyakula na KIPA App

5. KIPA Mobile App & Monitoring

Mfumo wa kisasa kwenye simu unaotunza rekodi za vipimo vyako, kufuatilia ufanisi wa vyakula unavyokula, na kumpa Daktari ripoti kamili ya maendeleo yako.

  • ✓ Grafu za maendeleo ya Presha, Sukari na Uzito
  • ✓ Vikumbusho vya vipimo na dawa
  • ✓ Ufuatiliaji wa ufanisi wa vyakula moja kwa moja

Zana Hizi Zote Zimejumuishwa Katika Vifurushi Vyetu

Kama tayari unavyo vifaa nyumbani unaweza kujiunga na programu pekee, au chukua seti kamili yenye vifaa vyote pamoja na usimamizi wa Daktari.

Chagua Kifurushi Chako Sasa ↓

Tunakuwezesha Kudhibiti Presha kwa Vyakula

Changamoto Unazopitia:

  • Kutokujua Aina za Vyakula: Kuchanganyikiwa na ushauri mwingi na kushindwa kutambua vyakula vinavyoshusha presha sokoni.
  • Kiasi na Mchanganyiko: Kutojua ule kiasi gani na uchanganye vipi milo ya kila siku bila kupoteza ladha.
  • Hofu ya Madhara: Wasiwasi wa kila siku ukihofia hatari ya kiharusi (stroke) au kufeli kwa viungo ghafla.

Jinsi Kitabu Kinavyotatua:

  • Mwongozo wa Vyakula Sahihi: Unajifunze aina zote za vyakula vya asili vya Kitanzania na namna ya kuvitayarisha kwa usalama.
  • Ratiba ya Wiki: Unapata mfano wa ratiba (Meal Plan) ya siku 7 inayokuonyesha kiasi na michanganyiko ya usahihi.
  • Kuepuka Madhara: Unajifunze hatua kwa hatua mbinu za kulinda viungo vyako muhimu (moyo na figo) visidhurike.
📱 DAKTARI NA MWONGOZO WAKO MKONONI

KIPA App: Dhibiti Presha Yako Kwa Uhakika Bila Kubahatisha!

Pata mfumo kamili wa kisasa unaokupa masomo, vitabu vya mwongozo, ufuatiliaji wa mlo na mazoezi, pamoja na meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa na usimamizi wa karibu wa Daktari.

📚

Masomo ya Kitaalamu na Vitabu

Soma vitabu na masomo maalum yaliyotayarishwa na madaktari kuhusu mfumo wa chakula, mabadiliko ya maisha, na mbinu za kitaalamu za kushusha presha bila kutegemea kemikali pekee.

📈

Ufuatiliaji wa Mazoezi na Mlo

Ingiza kila chakula unachokula na mazoezi unayofanya kila siku. App inakupa majibu ya uhakika kuonyesha ni mbinu gani inafanya kazi zaidi katika kushusha namba zako za presha.

💬

Jifunze kwa Waliofanikiwa

Shiriki katika meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa kudhibiti presha zao. Badilishana uzoefu, pata hamasa, na jifunze siri zilizowasaidia wao.

🩺

Usimamizi wa Madaktari

Haupo peke yako. Daktari anaangalia takwimu zako za presha, mlo, na mazoezi kupitia App na kukupa miongozo na ushauri wa papo hapo unapohitaji msaada.

💡 Kuwa na Uhakika wa Mbinu Inayofanya Kazi!

Kwa kufuatilia kila zoezi na mlo wako kwenye KIPA App, hautakuwa unabahatisha tena. Utajua kwa usahihi wa 100% ni chakula au zoezi gani linashusha presha yako kwa haraka zaidi.

Ushuhuda Kutoka kwa Wanaovitumia

"Nilikuwa na hofu ya kula chochote nikidani presha itaongezeka. Kitabu hiki kimenisaidia kunifumbua macho na kufurahia chakula bila wasiwasi."

Jane M., Dar es Salaam Mhasibu

"Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa na hofu kila mara labda presha imepanda."

Mr. John Mbaga, Dar Mwalimu

"Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu na daktari."

Prof. Lusingu Peter Lecturer
OFA MAALUM YA LEO

🔥 Punguzo hili linafungwa ndani ya:

23
:
59
:
59

⚡ Zimebaki seti 3 pekee kwa bei ya ofa ya sasa!

Chagua Kifurushi Chako Sasa ↓

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je Vifaa Vina Warranty?

Ndiyo, vifaa vyetu ni vya ubora wa juu na vina uhakika wa kufanya kazi kwa umakini na muda mrefu.

Kitabu kiko kwenye mfumo gani?

Kitabu kinapatikana katika mfumo wa PDF (Ebook) ambacho unaweza kukisoma kwenye simu au kompyuta yako mara tu baada ya malipo.

Nakipataje na Nafanyaje Malipo?

Ukibonyeza kitufe cha "Agiza", utapelekwa moja kwa moja WhatsApp ambapo utasaidiwa kufanya malipo na kutumiwa bidhaa/kitabu chako haraka.

Kwanini Tunaaminiwa?

📅

Uzoefu wa Miaka

Tangu mwaka 2016 tunaendelea kutoa huduma bora, za uaminifu na zenye adili kwa Watanzania.

🩺

Ushauri wa Kitaalamu

Unapata ushauri wa moja kwa moja kutoka kwa Daktari wetu bure kabisa baada ya kupata seti yako.

🛡️

Malipo Salama

Malipo yanafanyika kupitia akaunti ya kampuni inayojulikana. Kurejeshewa pesa au kubadilishiwa bidhaa usiporidhika.

Warranty ya Uhakika

Zaidi ya mwaka 1 wa Warranty. Tutakusaidia na kukuhudumia hata baada ya muda wa warranty kuisha.

OFA MAALUM YA LEO

🔥 Punguzo hili linafungwa ndani ya:

23
:
59
:
59

⚡ Zimebaki seti 3 pekee kwa bei ya ofa ya sasa!

Chagua Kifurushi Chako Sasa ↓
HATUA YA MWISHO YA OFA

Chagua Kifurushi Kinachokufaa Leo

Gusa kifurushi kimoja hapa chini kukamilisha oda yako mara moja.

Kifurushi Kilichochaguliwa:
Chagua kifurushi kimoja hapo juu ↑
Scroll to Top