Dhibiti Presha kwa Vyakula Kikamilifu
Fahamu vyakula vinavyopandisha na kushusha presha yako
Fahamu. Fuatilia. Furahia maisha.
Anza Kudhibiti Presha
Una Changamoto Hizi?:
- ❌Kutokujua Aina za Vyakula: Kuchanganyikiwa na ushauri mwingi na kushindwa kutambua vyakula vinavyoshusha presha sokoni.
- ❌Kiasi na Mchanganyiko: Kutojua ule kiasi gani na uchanganye vipi milo ya kila siku bila kupoteza ladha.
- ❌Hofu ya Madhara: Wasiwasi wa kila siku ukihofia hatari ya kiharusi (stroke) au kufeli kwa moyo au figo?.
Jinsi Kitabu Kinavyotatua:
- ✅Mwongozo wa Vyakula Sahihi: Jifunze aina zote za vyakula, katika mazingira yako na kuvitayarisha kwa usalama.
- ✅Ratiba ya Wiki: Unapata mfano wa ratiba (Meal Plan) ya siku 7 inayokuonyesha kiasi na michanganyiko ya usahihi.
- ✅Kuepuka Madhara: Unajifunze hatua kwa hatua mbinu za kulinda viungo vyako muhimu (moyo na figo) visidhurike.
Je, Kitabu Hiki Ni Kwa Ajili Yako?
Una presha au unamlea mtu mwenye shinikizo la juu la damu.
Unachanganyikiwa na ushauri tofauti wa aina ya vyakula vya kula.
Unahitaji mwongozo wa mlo salama na ratiba ya kudumu ya wiki nzima.
KIPA App: Dhibiti Presha Yako Kwa Uhakika Bila Kubahatisha!
Pata mfumo kamili wa kisasa unaokupa masomo, vitabu vya mwongozo, ufuatiliaji wa mlo na mazoezi, pamoja na meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa na usimamizi wa karibu wa Daktari.
Masomo ya Kitaalamu na Vitabu
Soma vitabu na masomo maalum yaliyotayarishwa na madaktari kuhusu mfumo wa chakula, mabadiliko ya maisha, na mbinu za kitaalamu za kushusha presha bila kutegemea kemikali pekee.
Ufuatiliaji wa Mazoezi na Mlo
Ingiza kila chakula unachokula na mazoezi unayofanya kila siku. App inakupa majibu ya uhakika kuonyesha ni mbinu gani inafanya kazi zaidi katika kushusha namba zako za presha.
Jifunze kwa Waliofanikiwa
Shiriki katika meza ya majadiliano na wagonjwa wenzako waliofanikiwa kudhibiti presha zao. Badilishana uzoefu, pata hamasa, na jifunze siri zilizowasaidia wao.
Usimamizi wa Madaktari
Haupo peke yako. Daktari anaangalia takwimu zako za presha, mlo, na mazoezi kupitia App na kukupa miongozo na ushauri wa papo hapo unapohitaji msaada.
💡 Kuwa na Uhakika wa Mbinu Inayofanya Kazi!
Kwa kufuatilia kila zoezi na mlo wako kwenye KIPA App, hautakuwa unabahatisha tena. Utajua kwa usahihi wa 100% ni chakula au zoezi gani linashusha presha yako kwa haraka zaidi.
Hatua Rahisi za Kulipia na Kupata Kitabu
Bonyeza kuweka oda, kisha lipia hivi:

Baada ya kukamilisha muamala wako:

Kukipata kitabu ni ndani ya dakika 5:


Hichi ni kitabu tulichoandika na wagonjwa
Wagonjwa wametoa maoni yao halisi, na hata wewe utatoa maoni yako vilevile baada ya kukitumia na kuona mabadiliko chanya kwenye afya yako.

Baada ya kulipia kitabu: Tunakutumia hapo hapo
Hakuna kusubiri kwa muda mrefu. Mara tu unapokamilisha malipo yako, unapata kitabu chako papo hapo ili uanze kukitumia bila kuchelewa.

Mazungumzo endelevu kufuatilia maendeleo yako
Hatukuachi peke yako baada ya kupata kitabu. Tunashirikiana nawe kupitia mazungumzo ya karibu ili kufuatilia mabadiliko ya afya yako hatua kwa hatua.

Ushuhuda: Kitabu kimemfanya asikosee vyakula
Watumiaji wanathibitisha jinsi mwongozo huu ulivyowaondolea mkanganyiko na kuwasaidia kuchagua vyakula sahihi vinavyodhibiti shinikizo la damu kwa ufanisi.

Hichi ni kitabu tulichoandika na wagonjwa
Wagonjwa wametoa maoni yao halisi, na hata wewe utatoa maoni yako vilevile baada ya kukitumia na kuona mabadiliko chanya kwenye afya yako.
Maswali ya Mara kwa Mara
Kitabu kiko kwenye mfumo gani?
Ni e-book (digital) ambayo unaweza kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta wakati wowote.
Vipi simu ikiharibika au nikipoteza file?
Usijali, mara tu baada ya kununua unakuwa na akaunti yako ambapo unaweza kupakua upya kitabu chako wakati wowote kupitia mfumo wetu.
Nafanyaje Malipo?
Tuna mfumo salama wa PesaPal unaokubali M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Kadi (Visa/Mastercard).

