
Kipimo cha Kidigitali cha Kupima Presha Nyumbani kinakusaidia kufuatilia presha yako kila siku ukiwa nyumbani.
Utajua kama dawa zinafanya kazi na unachukua hatua stahiki mapema kulingana na presha yako

Mwongozo wa “Dhibiti Presha kwa Vyakula” Huu ndio mwongozo uliothibitika kupunguza presha kwa vyakula. Kitabu hiki kinakufundisha:
Ratiba Bora: Mpango rahisi wa mlo wa wiki nzima usiokuwa na chumvi nyingi lakini wenye ladha.
Elimu Sahihi: Jinsi ya kuchanganya vyakula unavyovipenda (aina, kiasi, na muda).
Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza
Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy.
Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.
Utaweza kupakua kitabu hiki tena endapo simu yako itapotea au kuharibika.
Kukipata kitabu tafadali
Bonyeza Kipate Leo. Kisha jaza fomu.
Ukishajaza fomu, bonyeza Place ORDER
Lipia kwa namba hii ya AIRTEL –: 0783552959
Jina litakuja Juma Juma
Kisha tufahamishe kuhusu malipo yako.
Nia yetu ni wewe kuanza kudhbiti kisukari mapema. Hivo, hutajawahi kuzidisha dakika tano baaada ya mtu kulipia.
Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.
Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.