Wagonjwa wengi wanapambana kudhibiti kisukari kupitia njia mbali mfano tiba lishe, dawa, dawa za asili au zote kwa pamoja bila mfanikio. Maana yake ni kwamba uko kwenye hatari ya kupata madhara ya kisukari kama vile figo au moyo kufeli, kiharusi na vidonda ingawa uko kwenye tiba.
Changamoto kuu tatu huwenda zinakuazuia kufikia malengo yako:
1-Huuelewi ugonjwa unafikiri presha ni kama magonjwa mengine, wakati mwengine huamini kama kweli unaugua kisukar, hii husababisha kutafuta tiba ambayo hutakaa uipate.
2-Umechanganyikiwa na taarifa. Unagussa hiki unaacha, bila nafuu. Unaanza kutumia tiba ingine wakati mwengine unachanganya, unaona inafanya kazi lakkini baada ya muda mrefu sukari yako inapanda tena. Hujui ufanye nini.
3- Umekosa daktari anayekuelewa na kukwambia vitu / kukushauri kulingana na mahitaji yako, mazingira yako nk.
Kwamfano, Kama unasema vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni ghali najua kabisa kuna kitu si sawa! Hukushauriana na Daktari wako alikupa maelekezo bila kusikikia maoni yako, au wewe kwasababu ujuazo hukuwa wazi kujadiliana``
Dr. Adinan huchukua muda wa kusikiliza wasiwasi wa kila mgonjwa na kubinafsisha matibabu ili yakidhi mahitaji yao ya kipekee. Kama mtafiti, Dr. Adinan yupo mstari wa mbele katika maendeleo ya tiba, akiendelea kutafuta njia bunifu za kuboresha matokeo ya wagonjwa.

Kuwa na amani:
AFYATech inakuletea huduma ya PreshaPlan – mpango wa kitaalamu unaokusaidia kudhibiti shinikizo la damu kwa njia salama, bila hofu, na bila kubaki peke yako.
Huduma hii imesaidia Watanzania wengi tangu mwaka 2016 kupata utulivu na amani ya afya.
Tunapitia taarifa zako za kiafya kujua kiwango na aina ya presha unayopata.
Baada ya hapo tunakupendekezea mpango unaokufaa.
Tunakuandalia mpango wa vyakula, mazoezi, na mtindo wa maisha unaokufaa.
Unapata ushauri wa moja kwa moja kupitia AfyaPlan App kila wiki.
Tunatathmini maendeleo yako kila wiki kuhakikisha afya yako inaimarika.
Week 1 – Siku 1
🩺 Medical Doctor – Tathmini ya Awali
Tathmini ya awali, uchambuzi wa historia ya afya, na mikakati ya awali
Week 1 – Siku 2
🍎 Nutritionist & Dietician
Uchambuzi wa lishe, mapendekezo ya vyakula vinavyopunguza presha
Week 1 – Siku 3
🧘🏽♂️ Physiotherapist
Mazoezi salama ya kusaidia kupunguza shinikizo la damu
Week 1 – Siku 4
🧠 Counselor / Psychologist
Kudhibiti msongo wa mawazo unaosababisha presha kupanda
Week 1 – Siku 5
👥 Ushuhuda:
Ushuhuda na mbinu za waliofanikiwa kudhibiti presha
Week 1 – Siku 6
👩🏽⚕️ Podiatrist / Nurse
Ufuatiliaji wa afya ya miguu na ushauri wa tiba nyumbani
Week 2–12
Kikao kila wiki
Ufuatiliaji na tathmini ya matokeo yako na daktari + wataalamu wengine inapohitajika
Presha Plan inafanikisha kwasababu kwa pamoja tunazingatia haya yafuatayo