Tumia mbinu ya Kisasa!
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi, unaweza kufuatilia na kutathmini matibabu yako na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.
Kufahamu aina ya vyakula ni jambo muhimu sana. Ila wengi hawana elimu hii. @afyatech tuko kukusaidia. Sasa Fahamu. Fuatilia. Furahia maisha na
AfyaPlan App imebuniwa na Dr. Adinan kwa kushirikiana na wagonjwa wa kisukari na presha. Dr. Adinan ni daktari wa binaadamu, mkufunzi wa vyuo na mtafiti.