Wasiliana na Dr. Adinan kwa muda wako!

Dr. Adinan

Maelekezo ya Kuweka Miadi na Dr. Adinan:

  1. Chagua Tarehe: Baada ya kufungua link ya booking, utaona kalenda ya tarehe. Tafadhali chagua tarehe inayokufaa kwa miadi yako.

  2. Chagua Muda: Baada ya kuchagua tarehe, utaona orodha ya mida ambayo Dr. Adinan hatoi huduma kwa mwengine. Tafadhali chagua muda unaokufaa zaidi.

  3. Thibitisha Taarifa: Kagua tena tarehe na muda uliyochagua ili kuhakikisha kuwa kila kitu ni sahihi.

  4. Fanya Malipo: Ili kukamilisha miadi yako, utaelekezwa kwenye ukurasa wa malipo. Tafadhali lipia kiasi cha TZS 9,000.

  5. Pokea Uthibitisho: Baada ya malipo kufanikiwa, utapokea uthibitisho wa miadi yako kupitia SMS au email, ikithibitisha tarehe na muda wa miadi yako na Dr. Adinan.

Malipo yote ni kwa account Za AFYATech

1- NMB bank: 40310094893; Au 2- VODA Lipa Namba: 5271859; Au 3TIGOLipa Namba:6993797

Scroll to Top