Zuia Madhara ya Kisukari Ukiwa Nyumbani Kwako
Usisubiri mpaka miguu iote vidonda au figo zifeli. Chukua hatua sasa.
Kinachoniuma zaidi ni kuona wagonjwa—hata wale walioko kwenye tiba—bado wanapata madhara makubwa kama kukatwa miguu, upofu, na kukosa nguvu za kiume.
Lakini ukweli ni kwamba ungeweza kuepuka haya yote ukiwa nyumbani kwako. Siri ni moja tu: Kufahamu hali yako, kuchukua hatua mapema, na kufanya tathmini ya mara kwa mara.
Leo nakualika kufanya mambo matatu kwa wakati mmoja: KUFAHAMU, KUFUATILIA, na KUTATHMINI ukiwa nyumbani kwako kupitia nyenzo hizi muhimu.
Seti Kamili ya Nyenzo kwa Usalama Wako
Kazi za Vifaa Hivi:
- 🩸 Gluconavii: Kupima na kufuatilia kiwango cha sukari kwenye damu kila siku.
- ❤️ BP Machine: Kudhibiti shinikizo la damu (presha) ili kuepuka kiharusi na shambulio la moyo.
- 🦶 Monofilament: Kifaa maalum cha kukagua neva za miguuni ili kuzuia vidonda vinavyopelekea kukatwa mguu.
- ⚖️ Mizani ya Uzito: Kufuatilia uzito wa mwili ambao ni kiashiria muhimu katika udhibiti wa kisukari.
- 🌡️ Thermometer: Kugundua mapema dalili za maambukizi (infeksheni) mwilini kupitia joto.
- 📖 Kitabu cha Kisukari: Mwongozo wako wa lishe na elimu sahihi ya namna ya kuishi salama.
OFA MAALUM YA LEO!
Okoa TZs 83,800 ukichukua seti hii kamili leo.
NUNUA SASA (DIRECT CHECKOUT)* Ukibonyeza hapa, utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa malipo ili kukamilisha oda yako.