Downloadable products, Mobile Application, Virtual Products
AfyaPlan Application
$4,900.00
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kufuatilia, kutathmini, na kudhibiti hali zako za kiafya, hususan shinikizo la damu (hypertension) na kisukari.
Programu hii imeundwa ili kukupa majibu ya maswali yako, ushauri wa kitaalam kutoka kwa daktari, na zana bora za kukusaidia kuboresha afya yako na kuepuka matatizo makubwa.