-
DAYS
-
HOURS
-
MINUTES
-
SECONDS

Dhibiti Kisukari Tumia AfyaPlan Application

Dhibiti Kisukari na Furahia Kila Mlo Bila Hofu!

Anza Kudhibiti Kisukari Kwa Njia Zilizohakikiwa Sasa!

DAYS
HR
Dk
Sek

TSh. 49,000/=

Kula Vyakula Unavyovipenda?

Je, unakosa furaha ya kula vyakula unavyopenda kwa hofu ya kuongeza sukari yako? Sasa unaweza kula bila wasiwasi!

Ujasiri wa kuchagua na Kupanga Milo

Kosa la Kawaida: Huna Uhakika Nini Ule Nini Usile? Si lazima ujizuie kila kitu! Wengi huamini kwamba chakula kizuri kinapaswa kuachwa, lakini ni ufahamu sahihi unaohitajika.

Furahia Chakula Chako Bila Hofu ya Sukari!

Furahia maisha. Kuna njia ya kula vyakula unavyopenda bila kuhatarisha viwango vya sukari mwilini.

Badala ya TSh. 49,900/=

Urahisi wa kuelewa kitabu hiki

Baadhi ya Sura Muhimu Zilizomo Kwenye Kitabu Hiki

Kula Vyakula vya Wanga kwa Usahihi

Fahamu jinsi ya kula vyakula vya wanga kwa njia sahihi bila kuhofia kuongezeka kwa sukari mwilini.

Mlo Bora kwa Mgonjwa wa Kisukari

Jifunze jinsi ya kupanga mlo unaodhibiti kisukari kwa ufanisi, bila wasiwasi juu ya kuongeza sukari mwilini.

Kudhibiti Madhara ya Kisukari

Pata mbinu za kuepuka na kudhibiti madhara yanayotokana na kisukari ili kuboresha afya yako.

Matunda Sahihi kwa Wagonjwa wa Kisukari

Jua matunda yanayofaa kuliwa kwa afya bora ya mgonjwa wa kisukari.

Mpango wa Mlo wa Wiki

Mifano ya mipango ya milo ya kila siku kwa wiki nzima itakayokusaidia kudhibiti sukari yako ipasavyo.

Vyakula Vinavyosaidia na Vinavyoathiri Kisukari

Tambua aina za vyakula vinavyoweza kuwa na athari chanya au hasi kwa hali yako ya kisukari.

Jiamini kudhibiti kisukari kwa ufanisi

Andika Bei Yako

hbspt.forms.create({ region: \”eu1\”, portalId: \”139803313\”, formId: \”a4791baa-cbbc-4d6f-9518-c32258ba5e0a\” });

Review Your Cart
0
Add Coupon Code
Subtotal
Total Installment Payments
Bundle Discount

 
Scroll to Top