UzaziSmart: Mwongozo wa Uhakika wa Ujauzito na Malezi ya Mtoto kulingana na WHO
Full View
Gusa popote kufunga na kuendelea
🌸 Miongozo ya WHO: Safari ya Uhakika ya Kulinda Afya Yako na ya Mtoto Tumboni hadi Kujifungua.
UzaziSmart Jukwaa Hatua ya 1/9
Ushauri wa Kidaktari

Hivi ndivyo ningefuatilia kufahamu Afya Yangu na Ya Mwanangu wakati wa Ujauzito na Baada.

Kama mimi ningekuwa katika safari yako, nisingeruhusu hofu na kubahatisha viongoze maisha ya mwanangu. Ningetafuta mfumo unaofuata miongozo ya kisayansi ya WHO.

Taarifa za Ujauzito na Siku za Kujifungua
Sukuma juu kuendelea
Wasiwasi na Uvumi

Je, unajua mtoto wako anaendeleaje tumboni hivi sasa?

Ni rahisi kuchanganyikiwa na habari zisizo rasmi mtandaoni au maneno ya mtaani kuhusu nini cha kula na kufanya. Kutokujua kama mtoto anacheza salama huleta hofu kubwa.

Kichefu chefu na changamoto za ujauzito
Alama za Hatari

Hofu ya kutojua dalili za hatari zinazohitaji dharura.

Wamama wengi hupoteza watoto kwa kuchelewa kufika hospitali kwa sababu hawakujua kuwa mabadiliko fulani ya mwili yalikuwa ni ishara ya hatari ya dharura.

Alama za Hatari
Zana ya Kwanza

1. Kikokotoo Sahihi cha Siku ya Kujifungua (Due Date)

Ingiza tarehe ya hedhi yako ya mwisho (LMP) kupata makadirio sahihi ya kisayansi ya tarehe ya kumpokea mwanao, yakiongozwa na algoriti ya kitabibu.

Taarifa za Ujauzito na Siku za Kujifungua
Elimu ya Leba

2. Kutofautisha Uchungu wa Kweli na wa Uongo

Mfumo wetu unakufundisha kubaini mabadiliko ya kweli ya leba (Labor Signs) na mbinu sahihi za kupumua zilizoidhinishwa na WHO ili kupunguza maumivu.

Dalili za Uchungu
Ulinzi wa Uhai

3. Kujua Alama za Hatari Mapema

Kuanzia presha kupanda, kuvimba miguu, hadi mabadiliko ya damu. UzaziSmart inakuonesha dalili zote ambazo hupaswi kuzipuuza hata sekunde moja.

Afya Baada ya Kujifungua
Ondoa Upweke

4. Jukwaa la Wamama Wenzako

Hutakuwa peke yako tena. Ungana na wajawazito na wamama wanaopitia safari inayofanana na ya kwako ili kubadilishana uzoefu wa dhati.

Jukwaa la Wamama
Madarasa ya Kidigitali

5. Madarasa Maalum ya Elimu ya Afya na Ukuaji

Pata maelekezo ya hatua kwa hatua kuhusu lishe bora, maandalizi ya unyonyeshaji, na kufuatilia ukuaji sahihi wa mtoto kulingana na sayansi.

Maendeleo ya Mtoto

Anza Safari Yako ya Uzazi kwa Amani Leo

Jiunge na maelfu ya wamama wanaotumia mifumo ya kisayansi kulinda afya zao na za watoto wao. Maarifa sahihi ndio ngao ya kwanza.

Darasa la Ujauzito / Final Image
© 2026 AfyaPlans • UzaziSmart Platform
Kutoka Mwongozo wa WHO UzaziSmart App

Maoni ya Wanaotumia

uzazismart

5
S
SUZAN SEMBOJA HATIBU • 13/06/2026

Huma yenu ni nzuri

AFYATech Admin 14/06/2026

Asante sana Suzan. Karibu sana.

R
Raya • 09/06/2026

Majibu mazir

AFYATech Admin 12/06/2026

Karibu sana Raya. Vipi unatumia UzaziSmart kufanya nini?

J
Janeth • 02/06/2026

Mimi Nina swali hedhi yangu ya mwisho ni tarehe 13/2/2026 naomba tarehe ya matazamio kujifungua.

AFYATech Admin 12/06/2026

Rahisi sana Janeth. Ushapakuwa UzaziSmart nikuelekeze jinsi ya kufahamu tarehe ya kujifungua?

M
mosi • 16/05/2026

nataka kujuwa siku yangu ya hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Ni rahisi sasa. Nimebadilisha, badala ya kalenda nimeweka tarehe mahususi.Baala ya Kalenda hiviTumeweka hiviUrahisi wa kufuatilia hedhi na siku za hatari

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

Z
zaituni omar • 16/05/2026

Nahitaji kujuwa siku zangu za hatar

AFYATech Admin 28/05/2026

Sasa ni rahisi kama unavyoona hapo juu

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma Yenu Ni Nzuri Sana

AFYATech Admin 28/05/2026

Karibu sana Zuhura

Z
Zuhura • 12/05/2026

Nimependa huduma yenu ni nzuri sana

R
Rehema • 17/04/2026

Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo

AFYATech Admin 24/04/2026

Asante sana dada Rehema kwa mrejesho wako. Tafadhali endelea kutumia mpaka tufikie lengo letu

A
Adellah ngaga • 12/04/2026

Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Adellah. Tunashukuru. Tafadhali sambaza ujumbe kwa wahtaj

N
Neema • 10/04/2026

Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39

AFYATech Admin 15/04/2026

Asante sana dada Neema. TUnafarijika kusikia hivi

J
Jane Aloyce • 07/04/2026

Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari

J
John Makune • 05/04/2026

Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan

H
Hawa Salim • 05/04/2026

Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu

Tuandikie maoni yako hapa:

Scroll to Top