Muhimu ni Kujiunga kwenye Jukwaa Letu! Tumia mbinu ya Kisasa Kuwa na Amani!
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi, unatathmini matibabu yako na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.
Pia unapata ufafanuzi wa kina kuhusu masuala yote ya afya huku ukipata tafsiri ya vipimo mbalimbali, na dondoo muhimu kulingana na hali yako ya udhibiti wa presha / kisukari
Ushauri utalingana na hali yako ya afya kama usemavyo mwenyewe
Kuwa huru!


Hakuna kuchanganyikiwa tena!
Nini kinapandisha sana sukari yako? Unaweza kufahamu haya kwa kufuatilia


Kuwa na amani

AfyaPlan App imebuniwa na Dr. Adinan kwa kushirikiana na wagonjwa wa kisukari na presha. Dr. Adinan ni daktari wa binaadamu, mkufunzi wa vyuo na mtafiti. Bonyeza HAPA, kufahamu kuhusu machapisho yake ya kitaaluma kwenye fani za presha na kisukari.