Jifahamu Boresha Afya Yako
Hongera kwa kujali afya yako na karibu kutumia vikokotoo vyetu. Hapa kuna hatua rahisi za kufuata:
Fahamu Siku Za Hatari
Fahamu siku za hatari ili uepuke mimba zisizotarajiwa au Ili upate ujauzito unaouhitaji
Karibu Uzazi Calendar
Tafadhali jaza taarifa zako ili kuendelea.
Fahamu Tarehe ya Kujifungua na maendeleo ya mwanao!
Jaza tarehe uliyoanza hedhi ya mwisho kufahamu umri wa mtoto, tarehe za kujifungua, na mtoto wako anavyoendelea huku ukipata dondoo za afya kumfanya awe na afya bora
Karibu Uzazi Calendar
Tafadhali jaza taarifa zako ili kuendelea.
Fahamu Maana ya Vipimo Muhimu
Vya Sukari na Presha na VInavyoshabihiana kama vile uzito, cholesterole / Lehemu
Fahamu Uwiano wa Uzito na Urefu Wako
Ingiza Uzito wako katika Kilo na Urefu katika Sentimita
Nawezaje kufahamu Uwiano wa Uzito na Urefu Wangu?
Kufahamu BMI yako unatakiwa ufahamu vitu viwili: urefu wako katika mita, na uzito wako katika kilogram.
Kisha, zidisha urefu wako mara urefu. Kisha, gawanya uzito wako kwa urefu*urefu.
Kwa mfano, kama una kilo 75Kg na urefu wa 1.5m, BMI yako ni = 75/(1.5*1.5)=75/2.25=33.3. Au kama una kilo 70kg na urefu wa 2m: BMI= 70/(2*2)=70/4=17.5.
Hatahivyo kukurahisishia kazi, tunakupatia kifaa ambacho kitakufahamisha BMI yako kwa haraka.
Je, presha yangu iko sawa?
Ingiza kiwango chako cha presha sasa kupata ushauri
Sukari
Ingiza kiwango chako hapa kupata ushauri
[blood_glucose_parameter]
Cholesterole

[cholesterol_parameter]

Temperature
Ingiza kiwango chako hapa kupata ushauri
[temperature_parameter]
Oxygen
Ingiza kiwango chako cha joto sasa kupata ushauri
[spo2_parameter]
Fahamu
Ingiza kiwango chako hapa kupata ushauri
Jaza Fomu Hii Kupata Application Hii Kwa TSh. 1,000 badala ya TSh. 10,00O/= Leo Tu!
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.