Rejesha Uimara na Kujiamini Kwenye Tendo Bila Kuhatarisha Afya Yako
Unawahi kufika kileleni au kupoteza uimara ukiwa na mwenzako? Tumia fursa hii ya Ofa Maalum kujipima na kupata majibu pamoja na ushauri wa kitaalamu kwa TSh. 2,500/= Tu badala ya 15,000/=!
👇 Soma makala yote kufahamu huduma yetu ilivyo
ONGEA NA DR. ADINAN WHATSAPP (TSh 2,500)NguvuPlan
Kama mwanaume najua uchungu, fedheha na aibu ya kupungukiwa nguvu za kiume. Karibia 95% ya wanaume wanapitia mzunguko huu unaoumiza. Je, nawe umekwama kwenye mzunguko huu?

Dr. Adinan MD, MSc, Fellow Fogarty
Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya
Tangu mwaka 2014, Dr. Adinan amekuwa mstari wa mbele kutafiti na kufundisha wagonjwa kwa mafanikio makubwa katika masuala ya kudhibiti magonjwa sugu ya mfumo wa maisha.
Hivi sasa, anaongoza timu yenye uweledi wa hali ya juu, ari, na kujituma kwa dhati kuhakikisha kila mteja anapata huduma ya karibu na matokeo yanayothibitika.
Kwanini Sisi HATUTOI Dawa Mwanzo?
Sababu ni 1 tu: Tutakuwa tunatibu nini?
Tumeona wagonjwa 980 mpaka sasa tangu Mwezi wa Nne. Hakuna hata mmoja aliyekuwa anapenda kufanya kipimo mwanzo.
Tulichokigundua kitakushangaza. Ungependa kufahamu?
Ukweli Mchungu: Jinsi “Kidonge cha Elfu Mbili” Kilivyokaribia Kuharibu Maisha ya Juma (24)
Juma (sio jina lake halisi) ni kijana wa miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu ambaye ndio kwanza ameanza kazi jijini Dar es Salaam. Akiwa kwenye mahusiano mapya, Juma alianza kukabiliwa na changamoto ambayo hakuwahi kuifikiria maishani mwake: kushindwa kuhimili na kukamilisha tendo la ndoa (ED).
Kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya vijana wa umri wake, Juma alitawaliwa na uoga, aibu, na msongo mkubwa wa mawazo. Hakuweza kumwambia mpenzi wake, na wazo la kwenda kukaa foleni hospitalini kuulizia matatizo ya nguvu za kiume lilimpa picha ya aibu kubwa mbele ya wauguzi na madaktari.
⚠️ Onyo la Kitaalamu
Kama umri wako ni kati ya 18-29, uko kwenye hatari ya kupata madhara makubwa kutokana na dawa za kiholela na kuchelewa kupata huduma ya kitaalamu.
Siku moja, aliona tangazo la siri la kidonge kinachouzwa TSh 2,000 tu kwenye duka la dawa za asili. Bila kufanya vipimo, alinunua na kuanza kukitumia kwa siri. Kwa wiki mbili za kwanza, kidonge kilifanya kazi. Lakini wiki ya nne ilipofika, kidonge kilianza kupoteza nguvu.
Ili kupata matokeo yale yale, Juma alilazimika kumeza vidonge viwili kwa mkupuo. Siku moja alipata mapigo ya moyo kwenda mbio kupita kiasi, kichwa kuuma vikali, na mwili wake ukashindwa kabisa kufanya kazi bila kidonge hicho. Alikuwa ametengeneza utegemezi mkubwa wa kisaikolojia na kibayolojia.
Kupitia mfumo wetu wa kidijitali wa afya, Juma alifanya tathmini ya siri. Matokeo yalionyesha kuwa changamoto yake haikuwa ugonjwa sugu—ilikuwa ni Performance Anxiety (wasiwasi uliotokana na stress). Kwa kukimbilia dawa za kiholela, alikuwa anakaribia kuharibu mfumo wake wa uzazi. Leo, baada ya kupata ushauri wa siri kupitia app yetu, Juma amerejea kwenye ubora wake wa asili.
Je, Unapitia Changamoto Kama Hii?
Usisubiri uharibu mfumo wako wa uzazi kwa aibu ya kwenda kliniki. Linda ujana wako sasa kwa siri ya 100%.
🔒 Mfumo salama: Taarifa na majibu yako ni siri 100%.
Kati ya washiriki 1,978, ni washiriki 40 tuu waliokuwa na upungufu wa nguvu za kiume unaohitaji tiba ya dawa au upasuaji.
Wengine wote waliobaki, walishauriwa na nguvu zikarejea.
Chagua kifurushi chako ili kurudisha furaha na kujiamini.
Rudisha nguvu za kiume sasa.
- ✓ Kujipima
- ✓ Kupata Majibu ya ripoti yako
- ✓ Kujipima
- ✓ Majibu ya ripoti
- ✓ Ushauri wa Daktari Bingwa
- ✓ Kujipima
- ✓ Majibu ya ripoti
- ✓ Daktari Bingwa
- ✓ Programu Maalum ya Matibabu
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Pata uelewa wa jinsi mfumo wetu unavyofanya kazi kabla ya kuanza matibabu.
1
Nitapimaje wakati niko mbali au mkoani?
▾
Hauhitaji kusafiri! Mfumo wetu unatumia Screening Assessment ya Kidijitali (Online Diagnostic Assessment). Unajibu maswali maalum yanayochambua dalili, historia ya afya, na mfumo wako wa maisha. Majibu yako yanasomwa na mfumo pamoja na Daktari Bingwa ili kutambua chanzo halisi cha tatizo lako mahali popote ulipo.
2
Je, naweza kupewa dawa bila kufanya kipimo/tathmini?
▾
Hapana, hauwezi. Kutoa dawa bila kupima ndio sababu kuu watu wengi wanatumia dawa nyingi bila kupona. Nguvu za kiume husababishwa na vitu tofauti (kama vile mzunguko wa damu, homoni, au kisaikolojia). Ni lazima ufanye utathmini kwanza ili upewe matibabu yanayolenga chanzo chako halisi badala ya kubahatisha.
3
Huduma hii inatolewaje hadi kukamilika?
▾
- Kujaza Utathmini: Unajibu maswali machache ya afya kwenye mfumo.
- Kupata Ripoti & Ushauri: Daktari anachambua majibu yako na kukupa ripoti kamili ya chanzo cha tatizo.
- Programu ya Matibabu: Unapewa ratiba au tiba maalum na kufuatiliwa (follow-up) hadi unapopona kabisa.
4
Nyie mko wapi?
▾
Huduma yetu inakufikia popote ulipo kwa haraka, ufanisi na usiri wa hali ya juu. Hii ni huduma ya mtandaoni iliyobuniwa na Dr. Adinan Juma ikiwa na lengo la kuwafikia wahitaji wengi zaidi. Dr. Adinan amefanya hivi kwa wagonjwa wa presha, kisukari, mama wajawazito na sasa kwako. Ni mtafiti na mkufunzi kwenye vyuo vya KCMC.
5
Nitapatiwaje Dawa?
▾
Utapata dawa baada ya vipimo. Wagonjwa wetu 85 kati ya 100 hawahitaji dawa — huwa tunawapa maelekezo na mtindo sahihi wa maisha na wanafanikiwa kikamilifu. Ukihitaji dawa au vipimo vingine vya ziada, tunakuelekeza kwenye hospitali au maduka ya dawa ya karibu tunayoshirikiana nayo.
6
Nyie ni hospitali?
▾
Hapana, ni taasisi inayosaidia wagonjwa na wahitaji wa huduma ya afya kokote walipo kwa kutumia teknolojia. Hata hivyo, tunajipanga kuboresha hospitali zilizopo na kushirikiana nazo kwa ukaribu kuliko kuanzisha mpya. Tunasubiri maoni ya wadau ikiwemo wewe — wakituambia na kutupa nguvu ya kufungua hospitali tutafanya hivyo.
Hatua 3 za Mwanzo za Huduma Zetu Mtandaoni

Jipime Mwenyewe Mtandaoni
Lengo la kwanza na la msingi ni wewe na daktari wako kuhakikisha kwa usahihi kwamba kweli una upungufu wa nguvu za kiume ama la. Utajipima kwa mfumo wetu wa kisayansi ukiwa mtandaoni.
Pata Majibu Yako ya Uhakika
Baada ya kukamilisha kujipima, mfumo unakupa majibu ya ripoti yako papo hapo ili uwe na uhakika kamili kuhusu afya yako badala ya kuendelea kukisia.

Tuma Majibu kwa Daktari
Unatuma majibu yako kwa daktari wetu ili kupata tafsiri ya kina na ushauri wa kitaalamu kuhusu hatua zinazofuata.
Ufuatiliaji wa Kina & DaktariWangu App
Kwa huduma hii ya miezi mitatu, unakuwa na daktari Bingwa wa Mfumo wa Uzazi na Mkojo mmoja na unatumia DaktariWangu App kufuatilia matibabu na matokeo yote. Kila wiki unakuwa na kikao cha kuzungumza na daktari kwa muda mlioupanga ili kuhakikisha unapata matokeo ya kudumu.

“Wanaume wengi waliokuja kwangu walitaka dawa. Nikawauliza: ‘Ipi, na ya kutibu nini?’ Wanasita… Hawajui. Kwa sababu na wewe hujui pia. Lakini alipopima, hatukukuta anahitaji dawa—bali maelekezo mafupi kutoka kwa Daktari. Kesho yake anatutumia ‘Asante’, akiwa anafurahia maisha!”
Ndiyo, alikuwa na upungufu wa nguvu za kiume… Lakini sababu haikuwa kwenye uume wala mishipa ya damu. Sababu ilikuwa Kichwani!
Je, unataka nawe kujipima leo kwenye simu yako au utaendelea kubahatisha na dawa za mtaani?
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Pata uelewa wa jinsi mfumo wetu unavyofanya kazi kabla ya kuanza matibabu.
1
Nitapimaje wakati niko mbali au mkoani?
▾
Hauhitaji kusafiri! Mfumo wetu unatumia Screening Assessment ya Kidijitali (Online Diagnostic Assessment). Unajibu maswali maalum yanayochambua dalili, historia ya afya, na mfumo wako wa maisha. Majibu yako yanasomwa na mfumo pamoja na Daktari Bingwa ili kutambua chanzo halisi cha tatizo lako mahali popote ulipo.
2
Je, naweza kupewa dawa bila kufanya kipimo/tathmini?
▾
Hapana, hauwezi. Kutoa dawa bila kupima ndio sababu kuu watu wengi wanatumia dawa nyingi bila kupona. Nguvu za kiume husababishwa na vitu tofauti (kama vile mzunguko wa damu, homoni, au kisaikolojia). Ni lazima ufanye utathmini kwanza ili upewe matibabu yanayolenga chanzo chako halisi badala ya kubahatisha.
3
Huduma hii inatolewaje hadi kukamilika?
▾
- Kujaza Utathmini: Unajibu maswali machache ya afya kwenye mfumo.
- Kupata Ripoti & Ushauri: Daktari anachambua majibu yako na kukupa ripoti kamili ya chanzo cha tatizo.
- Programu ya Matibabu: Unapewa ratiba au tiba maalum na kufuatiliwa (follow-up) hadi unapopona kabisa.
4
Nyie mko wapi?
▾
Huduma yetu inakufikia popote ulipo kwa haraka, ufanisi na usiri wa hali ya juu. Hii ni huduma ya mtandaoni iliyobuniwa na Dr. Adinan Juma ikiwa na lengo la kuwafikia wahitaji wengi zaidi. Dr. Adinan amefanya hivi kwa wagonjwa wa presha, kisukari, mama wajawazito na sasa kwako. Ni mtafiti na mkufunzi kwenye vyuo vya KCMC.
5
Nitapatiwaje Dawa?
▾
Utapata dawa baada ya vipimo. Wagonjwa wetu 85 kati ya 100 hawahitaji dawa — huwa tunawapa maelekezo na mtindo sahihi wa maisha na wanafanikiwa kikamilifu. Ukihitaji dawa au vipimo vingine vya ziada, tunakuelekeza kwenye hospitali au maduka ya dawa ya karibu tunayoshirikiana nayo.
6
Nyie ni hospitali?
▾
Hapana, ni taasisi inayosaidia wagonjwa na wahitaji wa huduma ya afya kokote walipo kwa kutumia teknolojia. Hata hivyo, tunajipanga kuboresha hospitali zilizopo na kushirikiana nazo kwa ukaribu kuliko kuanzisha mpya. Tunasubiri maoni ya wadau ikiwemo wewe — wakituambia na kutupa nguvu ya kufungua hospitali tutafanya hivyo.

Dr. Adinan MD, MSc, Fellow Fogarty
Mtafiti wa Magonjwa ya Presha, Kisukari na Moyo | Mbobezi wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya
Tangu mwaka 2014, Dr. Adinan amekuwa mstari wa mbele kutafiti na kufundisha wagonjwa kwa mafanikio makubwa katika masuala ya kudhibiti magonjwa sugu ya mfumo wa maisha.
Hivi sasa, anaongoza timu yenye uweledi wa hali ya juu, ari, na kujituma kwa dhati kuhakikisha kila mteja anapata huduma ya karibu na matokeo yanayothibitika.
NguvuPlan