Dawa ya presha ya kupanda na kisukari
Hatua #1 Jiunge na Jukwaa Linaloaminika

Dhibiti na Epuka Madhara ya Kisukari na Presha

Muhimu ni Kujiunga kwenye Jukwaa Letu! Tumia mbinu ya Kisasa Kuwa na Amani!

Jisajili Sasa Kujiunga na AfyaPlan

AfyaPlan ni nini?

AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari.

Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi, unatathmini matibabu yako na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.

Pia unapata ufafanuzi wa kina kuhusu masuala yote ya afya huku ukipata tafsiri ya vipimo mbalimbali, na dondoo muhimu kulingana na hali yako ya udhibiti wa presha / kisukari.

Badilika!

AFYAPlan APP INAVYOWEZA KUBORESHA MAISHA YAKO

Amani ya Akili

Kujua afya yako iko mikononi mwako hukupa amani ya akili na maisha bora zaidi bila wasiwasi mwingi wa kiafya.

Maamuzi Bora

Ukiwa na elimu na ushauri wa kitaalam, utakuwa na uwezo wa kufanya maamuzi bora kuhusu mlo, mazoezi, na matibabu yako.

Kuimarisha Afya

AfyaPlan itakusaidia kufuatilia afya yako kwa karibu na kuchukua hatua mapema, hivyo kupunguza hatari za matatizo makubwa.

Ushauri Binafsi Unaokufaa

Ushauri utalingana na hali yako ya afya kama usemavyo mwenewe.

Chagua hali yako ya afya
Vyakula usivyokula
Jaza vyakula unavyopendelea na vilivyopo kwenye mazingira yako
Mpango wa Mlo

Mpango Wa Mlo

Hakuna kuchanganyikiwa tena!

  • Mpango wa siku saba
  • Kulingana na vyakula unavyopendelea
  • Ushauri wa ziada
Anza Sasa Kujipangia Milo

Fuatilia Kisukari

Nini kinapandisha sana sukari yako? Unaweza kufahamu haya kwa kufuatilia.

Fahamu kiwango chako cha sukari wakati wote

Kuwa na amani fahamu ufanisi wa matibabu yako

Ongeza motisha unapoweza kudhibiti sukari yako

Fuatilia Sukari Yako Kuidhibiti
Fuatilia Kisukari
Fuatilia Presha

Fuatilia Presha

Epuka madhara kwa kuchukua hatua stahiki.

Epuka madhara

Kuwa mstari wa mbele kuboresha afya yako

Furahia kila hatua unayopiga

Anza Sasa Kufuatilia Presha

Afya Yako Ndiyo Utajiri Wako.

Jiunge na AfyaPlan leo uanze safari ya kudhibiti presha na kisukari kwa kutumia mbinu za kisasa.

Pakua AfyaPlan SASA

© 2024 AfyaPlans-KIPA. Haki zote zimehifadhiwa.

Maoni ya Wanaotumia

afyaplan

5
S
Sarah swai • 28/05/2026

Ushauri kuhusu presha ya kushuka

AFYATech Admin 28/05/2026

Habari yako Sarah. Karibu sana. Nini tatizo tukutatulie leo?

M
Mathew John • 21/05/2026

Naitumia vizuri kudhibiti kisukari kwa ratiba ya chakula. Mwanzo ratiba ilikuwa kama vile inakataa lakini taratibu nimeweza. Uzuri ni kwamba unaandika vyakula unavyovipendelea na unavyomudu gharama

AFYATech Admin 28/05/2026

Karibu sana. Matumizi ya ratiba ni ya muda mrefu ili uweze kutambua vyakula gani ni bora kwako.

Tuandikie maoni yako hapa:

Scroll to Top