Kila Hatua ya Safari Yako Ina Mwongozo wa Uhakika.
Kutoka kujiandaa na ujauzito mpaka malezi ya mtoto, tumekuwekea video fupi za kuelimisha.
📱 Maelekezo ya Kutumia UzaziSmart
Jifunze jinsi ya kutumia app kiganjani mwako kwa huduma bora zaidi.
Kushusha (Installation)
Hatua kwa hatua kupitia Play Store.
Kujisajili (Registration)
Ufunguzi wa akaunti kwa mara ya kwanza.
Yaliyomo (Features)
Kalenda, ushauri, na makala za afya.
Kujiunga na Premium
Pata huduma zote bila kikomo.
1. Kujiandaa na Ujauzito
Elewa mzunguko wako na ongeza nafasi ya kupata ujauzito.
Mzunguko wa Hedhi
Urefu wa Mzunguko
Siku za Kupata Mimba
2. Kwa Wajawazito
Kufuatilia afya yako na ukuaji wa mtoto tangu siku ya kwanza.
Dalili za Mimba
Zitambue ishara za awali kabisa.
Tarehe ya Kujifungua
Jinsi ya kuhesabu EDD yako kwa usahihi.
Dalili za Uchungu
Fahamu wakati wa kwenda hospitali.
4. Malezi ya Mtoto Mchanga (Siku 1-Mwaka 1)
Coming SoonMiongozo ya lishe, chanjo, na ukuaji wa akili kwa watoto wakubwa.
Maudhui ya sehemu hii yanatayarishwa na wataalamu wetu. Stay tuned!
4. Malezi ya Mtoto (Miaka 1-5)
Coming SoonMiongozo ya lishe, chanjo, na ukuaji wa akili kwa watoto wakubwa.
Maudhui ya sehemu hii yanatayarishwa na wataalamu wetu. Stay tuned!
Maoni ya Wanaotumia
uzazismart
Hii huduma nimeipenda uaminifu ndo kitu cha kwanza mhudumu anakuelekeza kwa upendo kabisa na ukiuloza swali unajibiwa kwa mda muafaka
Imenisaidia kupata mtoto. Nilijua mzunguko wangu ni siku 28 kama zamani. UzaziSmart ilinifahamisha n8 diku 39
Asante, sasa sina hofu tena daktari. Kila mwezi nina uhakika wa tarehe za hatari
Tumekuwa tukikosea tarehe kwa zaidi ya miaka mitatu. Asante Dr. Adinan
Daktari ASANTESANA. Nimefanikiwa kupata mtoto. Nilikuwa sichezi vizuri na tarehe zangu
Nimefurahi sana nimeweza kujua mzunguko wangu, na siku za hatari. Asante kwa kupata huduma kwa haraka na maswali yangu yalijibiwa kwa haraka na kwa upendo