Unajua siku za hatari za mwenzi wako?
Usitegemee bahati β panga wewe.
Kila mwezi una siku chache zinazoweza kubadilisha maisha yako milele.
Mwanaume mwenye mpangilio habahatishi, anatumia taarifa sahihi.
π Pangilia mimba kwa usahihi, sio kubahatisha.
Kwanini UzaziSmart Ni Muhimu Kwa Wanaume?
Inatatua changamoto ya wanaume wengi:
- Hawajui siku za hatari za mwenzi wao
- Hutegemea βbahatiβ au makisio
- Huja kukumbana na mimba isiyopangwa, gharama zisizotarajiwa, na msongo wa mawazo
π Ukweli ni huu: Siku za hatari hazibahatishwi β zinahesabiwa.

Mwanaume Mwenye Mpangilio Hupanga Tarehe Muhimu
Biashara ina ratiba.
Safari ina ratiba.
π Uzazi nao unahitaji ratiba.
Kama hujui:
- lini mimba ina nafasi kubwa kutokea
- lini ni hatari
- lini ni salama
Basi maamuzi yako yako mikononi mwa bahati, sio akili.

UzaziSmart Inakupa Uhakika wa Maamuzi
Kwa kutumia UzaziSmart, unapata:
- π
Siku za hatari za mwenzi wako
- π― Muda sahihi wa kupanga mimba
- π« Kuepuka ujauzito usiopangwa
- π° Kupunguza gharama zisizopangwa
- π€ Kumsaidia mwenzi wako kwa uelewa sahihi
π Hii si application ya wanawake pekee.
π Ni zana ya mwanaume anayejua analotaka.

Jinsi Inavyofanya Kazi
1οΈβ£ Ingiza taarifa chache muhimu
2οΈβ£ Mfumo huhesabu mzunguko wa hedhi
3οΈβ£ Unaona siku za hatari na salama
4οΈβ£ Unapanga kwa uhakika β bila kubahatisha
β± Inachukua chini ya dakika 2
Gharama ya Kutokujua ni Kubwa Kuliko Bei
- Mimba isiyopangwa: gharama + msongo
- Migogoro ya mahusiano
- Maamuzi ya haraka yasiyoandaliwa
π Leo lipia TSh. 2,500/= tu
Badala ya TSh. 10,000/=

Kwa Nini Leo?
Kwa sababu:
- Mzunguko unaendelea
- Siku za hatari hazisubiri
- Bahati haikupi taarifa
π Leo unaamua kama utapanga au utapangiliwa.

Hadithi ya 1: Kutoka Mashaka hadi Uhakika
Awali, mwanaume huyu alikuwa na mashaka makubwa kama ujauzito ni wangu. Ujauzito ulipatikana, lakini hakuwa na uhakika ujauzito uliingia lini.
Kutokujua siku za hatari kulimfanya aishi na maswali mazito moyoni.Baada ya kutumia UzaziSmart, aliweza kuhakiki kwamba alikutana na mpenzi wake siku za hatari.
Leo ana uhakika wa wakati ujauzito ulipoanza, na hilo limemrudishia utulivu wa akili na imani kwenye maisha yake.
Hadithi ya 2: Amani ya Kila Mwezi
Kabla, kila mwisho wa mwezi ulikuwa chanzo cha hofu. Hakujua kama mimba ingeingia au la, na mawazo yalikuwa mengi kuliko majibu.
Kila mpenzi wangu akikosa hedhi sikuwa na amaani kwani hatukuwa tumepanga kuwa na mtoto kipindi kile tulichokuwa masomoni.
Sasa, kwa kutumia UzaziSmart, anajua siku za hatari na salama mapema na amaeitumia kupata mtoto kwa uhakika.
Chagua Kuwa Mwanaume Mwenye Mpangilio
Sio kila mwanaume anapanga uzazi.
Lakini kila mwanaume anayefanikiwa hupanga maisha yake.π
