
Kwa vipimo 3 unaepuka madhara, unaondokana na hofu na unatumia muda wako vizuri kufanya shughuli zako

Kipmo cha presha kimeboreshwa na kinapima watu 2 na kuhifadhi majibu tofauti. Pia, ni rahisi kusoma kwa kuwa ina taa inayoashiria presha kubwa (nyekundu) na ya kawaida (kijani) na inayopanda (njano)

Pesa zako ziko salama. Hujaridhika na bidhaa yetu tunakurudishia pesa yako ndani ya wiki moja bila usumbufu wowote!