Wasiliana na Dr. Adinan kwa muda wako!

Maelekezo ya Kuweka Miadi na Dr. Adinan:
- Chagua Tarehe: Baada ya kufungua link ya booking, utaona kalenda ya tarehe. Tafadhali chagua tarehe inayokufaa kwa miadi yako.
- Chagua Muda: Baada ya kuchagua tarehe, utaona orodha ya mida ambayo Dr. Adinan hatoi huduma kwa mwengine. Tafadhali chagua muda unaokufaa zaidi.
- Thibitisha Taarifa: Kagua tena tarehe na muda uliyochagua ili kuhakikisha kuwa kila kitu ni sahihi.
- Fanya Malipo: Ili kukamilisha miadi yako, utaelekezwa kwenye ukurasa wa malipo. Tafadhali lipia kiasi cha TZS 9,000.
- Pokea Uthibitisho: Baada ya malipo kufanikiwa, utapokea uthibitisho wa miadi yako kupitia SMS au email, ikithibitisha tarehe na muda wa miadi yako na Dr. Adinan.
Malipo yote ni kwa account Za AFYATech
1- NMB bank: 40310094893; Au 2- VODA Lipa Namba: 5271859; Au 3– TIGOLipa Namba:6993797